Muungano umepitwa na wakati. Tanganyika irudi na Zanzibar ijitegemee na mambo yakeHistoria hata iweje.....
Suala ni je TANZANIA YA MUUNGANO haina faida kwa WATU WA BARA NA ZANZIBAR?!!!!
Ukitaka kufukua makaburi utayafukua mpaka ya wahindi wekundu kuidai AMERIKA YAO.....
Muungano ni kama NDOA YA WAZAZI WAKO iliyofungwa kabla ya wewe kuzaliwa.....Muungano umepitwa na wakati. Tanganyika irudi na Zanzibar ijitegemee na mambo yake
Na huyu ni kiongozi? Kwa hiyo kila anayepata nafasi badala ya kuangalia maslahi ya nchi angalie maslahi ya alikotoka! Hii inajikumbusha kisa kimoja; Kuna watu walitaka kutandaza lami Butiama yote Mwalimu Nyerere alipokuwa Rais, akawauliiza, "Mkiweka lami hadi kijijini kwangu na vijiji vingine vya Watanzania mtaweka?" Kimya! Lami haikuwekwa."Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Mie msomaji tuAtabana ataachia tu. Tuendelee kumtekenya.
Lakini ni mpambanaji snHuyu Catie Ni pisi Kali anafaa kwa matumizi
Anampenda yeye na familia yakeukisema anapendwa na watanzania unakosea
tunataka Katiba mpya
Kwa sababu ni Mzizibar basi hawapendelee Wazanzibar wenzake Pro-Chadema mnaona sawa sababu atakuwa anawafurahisha. Sasa kwa nini mlikuwa mnapiga kelele kuwa Chato inapendelewa."Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Atajua mwenyeweLakini ni mpambanaji sn
Sawa dingiAtajua mwenyewe
Wewe ni takataka tuHalafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila."
Dear Chadema, jitahidini kufahamu vipaumbele vya Watanzania kisha muwe kipazasauti cha vipaumbele hivyo. Kadhalika, jibidiisheni kusoma upepo wa kisiasa ulivyo. Mama Samia anapendwa na Watanzania, pengine kutokana na kuwa Rais wa kwanza mwanamke. Lakini pia anaongea lugha ya kistaarabu. Sasa mkicheza ovyo karata zenu, mtaishia kuonekana mnam-bully.
Mwisho, mjibidiishe kuwa proactive. Anzisheni mijadala itakayowafanya Watanzania wafanye tafakuri badala ya sasa ambapo mnaendeshwa kwa matukio. Mnasubiri Mama Samia atamke hili au lile mpate cha kuongea.
Povu ruksa [emoji4]
Si ndiyo msemo wenuAnaupiga mwingi!!!! Labda kama anaupiga mwingi usingizi.
Wazazibar tena wanabahati sana, washukuru hata kwa hii katiba, Mzanzibar anakuja kutawala wabara wala hakuna chokochoko, ila wa bara akienda kutawala huko hapo hapakaliki.
Umekua msemaji wa wahindi wekundu kuanzia lini?.Historia hata iweje.....
Suala ni je TANZANIA YA MUUNGANO haina faida kwa WATU WA BARA NA ZANZIBAR?!!!!
Ukitaka kufukua makaburi utayafukua mpaka ya wahindi wekundu kuidai AMERIKA YAO.....
Mbona Mh kule wanasema kazaliwa Bara huku ama?.Wazazibar tena wanabahati sana, washukuru hata kwa hii katiba, Mzanzibar anakuja kutawala wabara wala hakuna chokochoko, ila wa bara akienda kutawala huko hapo hapakaliki.