Hapana mkuu, kuuwa, kudhurumu watu ni kosa kubwa mbele za Mungu na kwa watu wenye mfano wako, ila kuacha wezi na mafisadi yakiendelea kutesa maisha ya wengi ndio dhambi kubwaUnaongelea slogan ya kutia watu kwenye viroba na kupoteza watu na kuwabambikizia kesi au ipi ?
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Kwa mf, kwa tusi kubwa kama hili, mkuu umepata faida gani hapo??Kalale naye kaburini, mpuuzi mkubwa.
Ukiulizwa hao uliowataja wana kosa gani utaishia kujichomeka tu vidole puani...Tutakuwa taifa la ajabu kuamini kwamba wewe ndo mwenye mawazo sahihi kuliko wengine. Yaani tuamini bila wewe na huyo mungu wako nchi haitaendelea? Ni miezi 3 tangu ameondoka duniani, umeona upungufu wowote wa kutokuwepo kwake? Nyie mmepoteza nafasi alizowapa kwa upendeleo, kwa hiyo mnajaribu kutisha watu ili waone bila kundi lenu nchi haiendi.
Bashiru,
Makonda,
Mnyeti,
Dotto,
Nk
Hawako kwenye system, lakini umeona system imecolapse?
Acheni majungu wakati si rafiki kwenu. Aidha mjirudi twende pamoja, au nendeni peke yenu mpotee daima.
Kama alivyofungiwa mwendazake jiwe huko kuzimu asiweze kuchomoka?
Niaminicho sisiemu hata iwe mbovu ktk uwanja fair kabisa bado chadema haitoboi...Uoga wa nini kwani CCM iliandikiwa kutawala hii nchi milele?
Mama kisiasa anacheza kwenye mikono hatari. Mswahili akiahidiwa fedha ya msaada na wazungu anaona hapo chini tu haoni mbali. Kwao maisha ni sasa hivi.Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Sasa imani yako wewe usituaminishe na sisi.Niaminicho sisiemu hata iwe mbovu ktk uwanja fair kabisa bado chadema haitoboi...
Tena fursa ya kutest ndio sasa...
Na wewe imani yako usituaminishe na sisi.Sasa imani yako wewe usituaminishe na sisi.
Mkuu unatok dunia gani?Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Kuuwa na kuumiza watu bila kosa, ni upumbavu, ila kuacha wezi na mafisadi, wauza ngada wakiendelea kuuwa watu, kunyanyasa wajane ndio upumbavu zaidiTukusaidie:
Magufulification = Ujinga = Ujambazi = Kuua raia unaopaswa kuwalinda = Uhuni = Ulevi wa Madaraka = Ujinga tena = Laana
Ndo maana Mungu akamfutilia mbali pamoja na yale mabomu, vifaru vya jeshi, helcopter za jeshi, na mabunduki yote aliyokuwa kajizungushia
Get education stupid chap
Mkuu, ni kweli usemacho, Kuuwa na kutesa watu bila kosa, ni jambo lisilovumilika kokote kuleMkuu unatok dunia gani?
Mwendazake ameondoka na hatarudi, mliofaidika pamoja na kina Polepole na Bashiru, enzi zenu ndo kalas.
Watu wameteswa
Watu wamedhulumiwa
Watu wamefukuzwa kazi eti vyeti feki(wakati mwenyewe ana Phd yenye utata)
Watu wamenyang'anywa mali zao
Watu wamebobolewa nyumba zao Kimara
Watu wamebambikwa kesi za uhujumu uchumi
Watu wameuwawa
Watu..........jaza mwenyewe!
Hizo ndo sera za CCM zilizo enziwa na Mwendazake!
Heri sasa tunapumua kama binadamu, siyo kuishi kama mashetani aliyoyashabikia Mwendazake.
Tena ukimwita shetani ndio kabisaa hutaacha kumkumbuka, ni heri umwite binadamuHatutaki kusikia habari za shetani
OnywanebheHata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.
Iko hivi:
Ukiona Rais wa nchi anapongezwa na "wapinzani" wake kwenye kila jambo analolifanya basi tambua kwamba huyo Rais anafanya kazi ya kuua siasa.
Ndani ya chama chake atakataliwa, na nje ya chama chake atakubalika. Sasa ufalme unapojifitini wenyewe huwa hausimami. Tutegemee anguko kubwa sana la huyu SSH hapo ifikapo 2025.
Wapinzani hawana uwezo wa kushinda Urais lakini CCM inaweza kugawanyika na chanzo kikawa huyu Madam SSH.
Wanatazama, ila kuna mtu anashibishwa na lengo lake ashibe basi tenaHivi kweli wanachokifanya CCM hawatazami mbele?
wewe ni duni mnoShetani tunamkumbuka kila siku kama usemavyo lakini kwa kumlaani na kumuomba Mungu amuangamize kwenye moto wa jehanamu.
Hizo side show za Mwendazake ndio zilimuondolea kabisa uhalalil wa kuwa Rais Bora nchini Tanzania.Mkuu, ni kweli usemacho, Kuuwa na kutesa watu bila kosa, ni jambo lisilovumilika kokote kule
Lakini kuacha majambazi, mafisadi, majizi na wauza ngada wakiendelea kutesa wengi, ni jambo lisilovumilka zaidi na ni kosa kubwa zaidi