CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

Push gang habar yenu kwishaa. Subirien miaka 1000 na zaidi labda watu watakua wamesahau ushenzi wenu mlioufanya.

Jaman namuomba Mama aagize wizara ya Elimu ifundishe historia ya jiwe watoto wetu wamjue ni mtu wa namna gani jamii isije ikasahau matendo yake maovu.
 
Misimamo thabiti unamaanisha kuteka watu..kupiga watu risasi mchana kweupe..kufunga muka ya kubadilisha fedha..kupora fedha za watu..kuteua viongozi akina sabaya na makonda..
Kama jibu Ni ndio..Basi hatutaki kiongozi wa ubabe wa kijima..sisi sio ng'ombe..
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Acha hizo, tunawataka Azory, Ben Saanane etc na wale waliokuwa kwenye sandarusi Coco Beach

Kitu katili liuaji kikubwa eti liwe glorified, rubbish
 
Siku yeyote ile ukipata mpinzani wako anakuona na kukubali kuwa unafanya vizuri, basi ujue unamfanyia kazi yake.

Na ukikubalika na wapinzani wako wewe usiwe na wasi wasi, siku ya mwisho utajua kama unapatia au hapana.
Hata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.

Iko hivi:
Ukiona Rais wa nchi anapongezwa na "wapinzani" wake kwenye kila jambo analolifanya basi tambua kwamba huyo Rais anafanya kazi ya kuua siasa.

Ndani ya chama chake atakataliwa, na nje ya chama chake atakubalika. Sasa ufalme unapojifitini wenyewe huwa hausimami. Tutegemee anguko kubwa sana la huyu SSH hapo ifikapo 2025.

Wapinzani hawana uwezo wa kushinda Urais lakini CCM inaweza kugawanyika na chanzo kikawa huyu Madam SSH.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Kwanza hii nchi siyo ya CCM bali ni ya Watanzania wote. Hivyo basi kila Mtanzania ana haki ya kuchagua Kiongozi/ Chama anachoona kinafaa ma ana haki ya kuchaguliwa kama anakidhi matakwa ya Katiba. CCM ni kikundi tu chenye masilahi yanayofanana.

Rais SSH hapaswi kuangalia CCM wanataka nini bali anapaswa kuangalia Watanzania wanachotaka. CCM itaondoka kama UNIP ya Zambia au KANU ya Kenya lakini Tanzania itabaki.

Nafuu SSH aongoze Tanzania kwa kipindi kifupi atuletee Katiba iliyobora kiasi kwamba hata akitoka madarakani atakumbukwa kwa hilo kuliko kukaa madarakani miaka 50 na Katiba mbovu kisa anaogopa CCM itashindwa uchaguzi
 
Hata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.

Iko hivi:
Ukiona Rais wa nchi anapongezwa na "wapinzani" wake kwenye kila jambo analolifanya basi tambua kwamba huyo Rais anafanya kazi ya kuua siasa.

Ndani ya chama chake atakataliwa, na nje ya chama chake atakubalika. Sasa ufalme unapojifitini wenyewe huwa hausimami. Tutegemee anguko kubwa sana la huyu SSH hapo ifikapo 2025.

Wapinzani hawana uwezo wa kushinda Urais lakini CCM inaweza kugawanyika na chanzo kikawa huyu Madam SSH.
Mkuu, umeongea ukweli mtupu, na ndicho hki kinatarajiwa kuzaliwa ndani ya Chama na ndilo kaburi la 2025
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
ungetoa mfano hai wa misingi iliyowekwa na Magufuli kwanza na inakiukwa sasa.Pia utuambie ni kipi kinachofanywa sasa hakina maslahi kwa taifa ili tujue.Halafu pia utuambie kipi ni bora CCM kuwa madarakani au kuwa na nchi yenye ustawi kimaendeleo,umojana mshikamano wa watu
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Hapo mwisho umeonyesha rangi yako
 
Unatishia watu wazima nyau tu wewe mataga
 
Ndio kauli za Hitler na Iddi Amin
Siku yeyote ile ukipata mpinzani wako anakuona na kukubali kuwa unafanya vizuri, basi ujue unamfanyia kazi yake.

Na ukikubalika na wapinzani wako wewe usiwe na wasi wasi, siku ya mwisho utajua kama unapatia au hapana.
 
Kwendraaaaaaa bashite wewe
Unajua, hata musa alikuwa mjanja saaana, Mungu alipomwambia ayapige maji ya bahari, mara yakagawanyika, hakuwa wa kwanza kuingia katika njia ya bahari licha ya kwamba yeye alikuwa kiongozi wa safari ile

Sasa ngoja CCM wawe wanaingia kichwakichwa kama watatoka kwenye mtego huo

CCM wanatumia maguvu, upinzani wao kazi yao ni moja tu, wanatembea kwa marifa sana kama hujawajua, wanakohoa huku wakionesha huruma fulani hivi huku wakiwa na lao jambo
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Unaongelea slogan ya kutia watu kwenye viroba na kupoteza watu na kuwabambikizia kesi au ipi ?
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Kama alivyofungiwa mwendazake jiwe huko kuzimu asiweze kuchomoka?
 
Back
Top Bottom