Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo, tunawataka Azory, Ben Saanane etc na wale waliokuwa kwenye sandarusi Coco BeachNawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Hata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.Siku yeyote ile ukipata mpinzani wako anakuona na kukubali kuwa unafanya vizuri, basi ujue unamfanyia kazi yake.
Na ukikubalika na wapinzani wako wewe usiwe na wasi wasi, siku ya mwisho utajua kama unapatia au hapana.
Kwanza hii nchi siyo ya CCM bali ni ya Watanzania wote. Hivyo basi kila Mtanzania ana haki ya kuchagua Kiongozi/ Chama anachoona kinafaa ma ana haki ya kuchaguliwa kama anakidhi matakwa ya Katiba. CCM ni kikundi tu chenye masilahi yanayofanana.Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Mkuu, umeongea ukweli mtupu, na ndicho hki kinatarajiwa kuzaliwa ndani ya Chama na ndilo kaburi la 2025Hata mimi pia jana niliandika comment kama hii yako.
Iko hivi:
Ukiona Rais wa nchi anapongezwa na "wapinzani" wake kwenye kila jambo analolifanya basi tambua kwamba huyo Rais anafanya kazi ya kuua siasa.
Ndani ya chama chake atakataliwa, na nje ya chama chake atakubalika. Sasa ufalme unapojifitini wenyewe huwa hausimami. Tutegemee anguko kubwa sana la huyu SSH hapo ifikapo 2025.
Wapinzani hawana uwezo wa kushinda Urais lakini CCM inaweza kugawanyika na chanzo kikawa huyu Madam SSH.
ungetoa mfano hai wa misingi iliyowekwa na Magufuli kwanza na inakiukwa sasa.Pia utuambie ni kipi kinachofanywa sasa hakina maslahi kwa taifa ili tujue.Halafu pia utuambie kipi ni bora CCM kuwa madarakani au kuwa na nchi yenye ustawi kimaendeleo,umojana mshikamano wa watuNawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Kutesa watu ni kosa kubwa mno mkuu, ila kuachia waharifu watawale ndio kutesa watuKwamba watese watu?
Wamsapoti Msukuma for presidentPush gang naona mashambulizi yamepamba moto, msikate tamaa tuilinde legasi[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Hapo mwisho umeonyesha rangi yakoMimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.
Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Siku yeyote ile ukipata mpinzani wako anakuona na kukubali kuwa unafanya vizuri, basi ujue unamfanyia kazi yake.
Na ukikubalika na wapinzani wako wewe usiwe na wasi wasi, siku ya mwisho utajua kama unapatia au hapana.
Unajua, hata musa alikuwa mjanja saaana, Mungu alipomwambia ayapige maji ya bahari, mara yakagawanyika, hakuwa wa kwanza kuingia katika njia ya bahari licha ya kwamba yeye alikuwa kiongozi wa safari ileKwendraaaaaaa bashite wewe
Unaongelea slogan ya kutia watu kwenye viroba na kupoteza watu na kuwabambikizia kesi au ipi ?Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu
Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!
Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Kama alivyofungiwa mwendazake jiwe huko kuzimu asiweze kuchomoka?Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.
Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Kalale na babu yako, au mamayo, au mwanao, au nduguyo yoyote kabrini mshenzi mkubwa weweKalale naye kaburini, mpuuzi mkubwa.