PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo

Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
 
Nimbinu gani ambayo ccm wataitumia kutengua maamzi ya wachache kwenye kikao cha kusitukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya yaharibu chama chenu
Tar. 29 na 30 May 2025,
kutakua na mkutano mkutano maalumu Taifa pale Dodoma, ili kujadili na kuipitisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo mgombea urais wa CCM Tanzania Bara na Visiwani watakabidhiwa ili kuinadi kwa wananchi kampeni za uchaguzi zitakapozinduliwa mwezi August 2025.

Ni muhim sana waTanzania kukaa mkao wa kula.
Mambo mazuri zaidi yanakuja 2025-2030.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
 
Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya yaharibu chama chenu
Inawezekana Mama akawa na madhaifu yake yeye kama yeye lkn chama kumpitishq haikuwa kosa. Kila chama kina utaratibu wake. Chadema walitumia utaratibu gani kipindi kile cha Lowassa?
 
Kipindi kabla hajapitishwa mbona mama alikuwa safi tu mkuu

Baada ya kujua hana upinzani tena ndani ya cchama chake ndo anaharibu kabisaa na ipo siku atawashughurikia mpaka wana ccm
 
Tar. 29 na 30 May 2025,
kutakua na mkutano mkutano maalumu Taifa pale Dodoma, ili kujadili na kuipitisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo mgombea urais wa CCM Tanzania Bara na Visiwani watakabidhiwa ili kuinadi kwa wananchi kampeni za uchaguzi zitakapozinduliwa mwezi August 2025.

Ni muhim sana waTanzania kukaa mkao wa kula.
Mambo mazuri zaidi yanakuja 2025-2030.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Gentleman, huyo mbona anang'olewa soon na wana CCM hao hao?
 
Tar. 29 na 30 May 2025,
kutakua na mkutano mkutano maalumu Taifa pale Dodoma, ili kujadili na kuipitisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo mgombea urais wa CCM Tanzania Bara na Visiwani watakabidhiwa ili kuinadi kwa wananchi kampeni za uchaguzi zitakapozinduliwa mwezi August 2025.

Ni muhim sana waTanzania kukaa mkao wa kula.
Mambo mazuri zaidi yanakuja 2025-2030.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Huyu Mama tumepigwa hafai kuwa Rais,ndiyo maana zinatumika nguvu nyingi kumuweka mbali Tundu Lissu,
 
Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
Naunga mkono hoja. Walijichanganya kweli.
 
Back
Top Bottom