PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inachosha. Hakuna kitu cha maana unapata humu zaidi ya machawa. Ndo maana wale members wenye facts za kisomi hawamo humu siku hizi.
Jf haina rofauti na fb
Yaani basi tu...nakumbuka miaka hiyo tulikua ni mijadala kweli kweli..Sasa imebakia machawa na vijana wa mihemko basi
 
Kwa maslahi mapana ya Tanganyika, patafutwe upenyo wa kisheria mama arudi kwao kizimkazi kwa heshima.
Inatosha. Amepika chakula atenge mezani akaoge, watu wale.
Ni Bora tubadirishane wa visiwani aje jeshini huku Tanganyika huyu wetu aende Kizmkazi kupokea wageni wa DP.World
 
Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
BILA MABADILIKO YA KWELI, SIPIGI KURA.
 
Ujui mwanamke akiwa juu ya mwanaume anakuwa mshenzi kiasi gani...kiburi cha Samia lazima kifike kileleni juu sana ndipo anguko.lake litakuwa kubwa.
 
Tar. 29 na 30 May 2025,
kutakua na mkutano mkutano maalumu Taifa pale Dodoma, ili kujadili na kuipitisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo mgombea urais wa CCM Tanzania Bara na Visiwani watakabidhiwa ili kuinadi kwa wananchi kampeni za uchaguzi zitakapozinduliwa mwezi August 2025.

Ni muhim sana waTanzania kukaa mkao wa kula.
Mambo mazuri zaidi yanakuja 2025-2030.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒

Ahadi za kwenye makaratasi .....!!

Hii nchi kwa sasa iko mikononi mwa Waarabu kupitia akina Rostam, Assasi, GSM na Seth.
 
Ila ccm hii ya sasa inahitaji maombi na tufunge kukiombea kwani kumemkumbatia sana yule "mwovu"
Kimemuasi Muumba kabisaa na tena hawana wasiwasi kwa dhambi hii!
 
Ahadi za kwenye makaratasi .....!!

Hii nchi kwa sasa iko mikononi mwa Waarabu kupitia akina Rostam, Assasi, GSM na Seth.
ubaguzi wa kilofa hakuna Tanzania gentleman,
vijana tumeishikilia nchi yetu vizuri sana na tunasonga mbele bila kujali mayowe ya vibaka na matapeli ya kisiasa nchini 🐒
 
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo

Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
Bado hamjasema mtasema vizuri Oktoba 2025.
 
Amekuwa sababu ya Wakenya kuandamana na pengine kutokee damu kumwagika kwa maamzi ambayo hata wasingefanya kusingeharibika chochote
 
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo

Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
Hivi, kwa uamzi uliotokea siku ya kesi ya Lissu wanaharakati wa Kenya kukamatwa, itokee maandamano huko na umwagaji wa damu, (Hatuombei) lakini atakuwa nani mwenye kubeba dhambi hii?
 
Haikujikanyaga, wasingetumia ubabe Mamama msinge muona hata kati ya wagombea 100 bora.

Ilibidi watumie ubabe wa mwenyekiti akajiteua, akajichagua, akajitangaza.

Walimwambia apishe ukumbi wajumbe wamjadili akagoma.
 
Back
Top Bottom