PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?
Sijui una maana gani hapa: Kwamba "...meza kuu haikuwa na agenda hiyo."?
Una maana hata yeye mwenyewe hakujuwa uwepo wa hiyo agenda. Kawadanganye wasio na akili.

Huu ulikuwa ni mkakati uliosukwa toka mapema kabisa; na ilifanywa iwe hivyo kwa sababu ulizozitaja wewe mwenyewe kwenye andiko lako. Hata huko CCM HAKUBALIKI!
 
Chadema wameshaweka wazi kuwa hawashiriki huo ujinga
Unapotosha, mkuu 'Allency'.
Walicho sema CHADEMA "Hakutakuwepo na Uchaguzi bila ya kuwepo na Marekebisho muhimu katika taratibu za uchaguzi.
Marekebisho yakifanyika, CHADEMA wanaingia kwenye uchaguzi.
Marekebisho yakikataliwa na CCM na Serikali yake, CHADEMA itawaomba waTanzania pasiwepo na uchaguzi.
Tume elewana vizuri mkuu 'Allency'?
 
Inawezekana Mama akawa na madhaifu yake yeye kama yeye lkn chama kumpitishq haikuwa kosa. Kila chama kina utaratibu wake. Chadema walitumia utaratibu gani kipindi kile cha Lowassa?
Kwani utaratibu ulio tumiwa kumpitisha Samia safari hii ndio hutumika miaka yote ndani ya CCM; au wewe hii ndiyo mara ya kwanza wakifanya uteuzi?
 
Mkuu Bishweko kwanza habari za masiku, pole na hongera kwa majukumu ya kitaifa

Sijakuona hapa kitambo kama sikosei

Agenda ya Chadema ni No reforms no election

Bila shaka zikiwepo Reforms, tutamjua na mgombea Urais bila shaka
Tulisema domo kaja kuwaua

Na kaifanyq kazi ndani ya miezi mitatu tu… baba ndubwi failed to kill ndumuz for years
 
Unapotosha, mkuu 'Allency'.
Walicho sema CHADEMA "Hakutakuwepo na Uchaguzi bila ya kuwepo na Marekebisho muhimu katika taratibu za uchaguzi.
Marekebisho yakifanyika, CHADEMA wanaingia kwenye uchaguzi.
Marekebisho yakikataliwa na CCM na Serikali yake, CHADEMA itawaomba waTanzania pasiwepo na uchaguzi.
Tume elewana vizuri mkuu 'Allency'?
Hawawezi kushiriki bila kusaini zile nyaraka nyeti
 
Huyu Mama tumepigwa hafai kuwa Rais,ndiyo maana zinatumika nguvu nyingi kumuweka mbali Tundu Lissu,
Hivi huko CCM hakina mwanaume Mtanganyika anayetosha kuwa Rais wa Tanganyika hadi watuwekee Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika yetu tena mwanamke? Hii si sawa hata kidogo.
 
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo

Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
Mama yenu amenogewa penzini, huyu bwana mdogo ndio anaongoza nchi amkeni ninyi
mapete.jpg
 
Yanayoendelea ndio yamemuharibia kabisa ndani na kimataifa alianza vizuri anamaliza vibaya.
Ufisadi zero.
Utekaji zero
 
Pana yule dogo anaitwa mzenji one anaeliwa kamari hadi bilioni moja,aliyewakodia private jet kuwapeleka naija kundi la wasanii waoaji na anaewamwagia pesa wasanii plus machawa wote wakubwa akiwemo sura mviringo yasemekana ana vinasaba na ulaji keki kuu kwa maana ya mtoto wa kufikia

View: https://youtu.be/xMoxz9mDiuM?si=lnTmv9Y3prlinJDy
 
Tar. 29 na 30 May 2025,
kutakua na mkutano mkutano maalumu Taifa pale Dodoma, ili kujadili na kuipitisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo mgombea urais wa CCM Tanzania Bara na Visiwani watakabidhiwa ili kuinadi kwa wananchi kampeni za uchaguzi zitakapozinduliwa mwezi August 2025.

Ni muhim sana waTanzania kukaa mkao wa kula.
Mambo mazuri zaidi yanakuja 2025-2030.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Wewe utakuwepo??
 
Walio Fukara. Walio masikini shauri zenu!
 
Unapotosha, mkuu 'Allency'.
Walicho sema CHADEMA "Hakutakuwepo na Uchaguzi bila ya kuwepo na Marekebisho muhimu katika taratibu za uchaguzi.
Marekebisho yakifanyika, CHADEMA wanaingia kwenye uchaguzi.
Marekebisho yakikataliwa na CCM na Serikali yake, CHADEMA itawaomba waTanzania pasiwepo na uchaguzi.
Tume elewana vizuri mkuu 'Allency'?
Tumeelewana mkuu.
 
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo

Ni mbinu gani ambayo CCM wataitumia kutengua maamuzi ya wachache kwenye kikao cha kustukiziwa kuingizwa kwa agenda ya uteuzi wa jina la mgombea Urais ilihali hata meza kuu haikuwa na agenda hiyo?

Sauti iliyosikika ikiwataka wajumbe wa NEC kupitisha majina ya wagombea Urais inajulikana kabisa, na ndani yake ikiwa na maslahi ya upande ya watu wachache

Sasa kwa yanayoendelea, wandamizi na wakongwe ndani ya ccm wanajuta huku wakiulizana wafanye nini kutengua maamzi hayo!

Na au tutegemee usemi alilolitumia Rais Msataafu JK kuwa, mambo yakiwa mabaya zaidi, watamng'oa? Mpaka muda huu unadhani mambo mabaya chini ya uongozi wake hajafikia kiwango cha yeye kung'olewa na wana ccm?

Kusema kwamba mambo hajawa mabaya ni kujidanganya,, CCM ni kubwa ina watu wengi weledi, wana ccm msiache haya mambo yaharibu chama chenu
Msoga ni hatari kuliko maradhi
 
Back
Top Bottom