CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Ila maoni yako hayawawakilishi watu wote.Tumetoka mbali mkuu,pongezi ni muhimu
 
Sio sahii kutulinganisha na wengine
 
Sidhani kama upo sahii
 
Narudia tena kiwango cha maendeleo ya CCM
By 1961 Mji wa Dar 80% planned 20 squatter
By 2020 baada ya miaka 60 Mji huo huo 10 Planned na 90 squatter.
Hii ni kuonesha Upande wa Ardhi na Mipango miji CCM imefeli.
Hiki ndio kipimio chako
 
Tunazungumzia tulipotoka mpaka leo.Ungezaliwa kitambo kidogo ungeelewa
 
CCM imetuchelewesha sana tupo miaka 39 nyuma ya maendeleo tuliyopaswa kuwa nayo leo hii
 
Narudia tena kiwango cha maendeleo ya CCM
By 1961 Mji wa Dar 80% planned 20 squatter
By 2020 baada ya miaka 60 Mji huo huo 10 Planned na 90 squatter.
Hii ni kuonesha Upande wa Ardhi na Mipango miji CCM imefeli.
Kwa kila kitu , wanajitahidi Sasa ni amani tu ndio tunayo ndio wanajitahidi tunayo . Tena nikwasababu wananchi wanakubaliana na kila kitu
 
Una hakika na usemayo au ni mihemuko tu ya kisiasa mdogo wangu????Karibu uchangie
Una uhakika mimi ni mdogo wako? au unachangia tu kimhemko?

Nimeangalia kwa hapa JF tu uejiunga ramsi mwaka jana, mimi nimejiunga JF rasmi kwa hii ID miaka 12 iliyopita , na nilikuwepo kabla ya hapo kwa akaunti nyingine.

So, as far as seniority is concern btn our IDs (hizi tunazowasiliana sasahivi) hustahii kuniita mimi mdogo wako.

Nimeshachangia badala yauja na hoja ya maana unaleta masuala eti mimi mdogo wako.

Nakushauri nenda kasome historia ya nchi hizo ufahau zilikuwaje miaka ya 1960's na sasa zipo wapi ndio uje kukoment wewe bwana mdogo ufananishe na nchi yako ndipo utakubaliana na mimi
 
Kwanza nikuombe msamaha kwa kukuita mdogo wangu""Niwie radhi""na pili naweza kukuuliza kitu mkuu??
 
Kaka kwa rasilimali za nchi hii na tulipo unaona sawa? Leo hii unaenda kupata huduma polisi unaambiwa utoe mafuta wakakamate mtuhumiwa wako?
 
Kaka kwa rasilimali za nchi hii na tulipo unaona sawa? Leo hii unaenda kupata huduma polisi unaambiwa utoe mafuta wakakamate mtuhumiwa wako?
Changamoto hazikosekani ila tumepiga hatua mkuu katika nyanja nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…