(Umasikini,Maradhi, na Ajira) .
Kuna Mafanikio Fulani yaliyoletwa na CCM kwa miaka hiyo 60, lakini ukiyalinganisha na umri wake na ukubwa wa chama chenyewe ni sawa na kusema hayalingani.
Kuipongeza CCM kwa kutimiza wajibu wake kikatiba hakuna haja, pamoja na kuwa wao hupenda sana hilo la kupongezwa .
Lakini Pale penye Mapungufu hapana budi kubebeshwa lawama kwa kushindwa kwake kuwaletea matarajio wananchi kama walivyowaahidi na kutarajiwa.
Tanganyika na Singapore walipata uhuru karibuni sawa sawa, walipishana miaka au miezi tuu.
LAKNI tOFAUTI YA MAENDELEO IMEKUWA KUBWA MNO.
WAKATI TANGANYIKA INA RASILIMALI NYINGI MNO KULIKO SINGAPORE WAO HAWANA CHOCHOTE.
HIVI NDIO KULINGANISHA