Kipindi tunawaogopesha na TLP hapa mbeya tulitaraji kufika mwaka huu muwe na jiji lenye mpango mzuri na barabara za mitaa na sio vichochoro.Tupo pamoja mzee mwezangu.Karibu CCM tujenge nchi pamoja.Maana tumetoka nayo mbali
Kijana wangu nitake radhi.🤣🤣🤣Wewe ni kiongozi wa Nini? Au wa MACHAWA
Mbeya ipo kwenye mipango endelevu na kwa kuanzia tumeifanya kua jiji.Kipindi tunawaogopesha na TLP hapa mbeya tulitaraji kufika mwaka huu muwe na jiji lenye mpango mzuri na barabara za mitaa na sio vichochoro.
Mzee mwenzangu kwenye vikao vyenu toka uhuru huwa mnajadili nin kuhusu MBEYA?
Sasa unakitu unawatafuta vijana bwana muhengaUsiku na mchana hatulali,tunajenga nchi,msitutukane bali tunahitaji pongezi ili serikali yenu sikivu chini ya utawala wa CCM na mwenyekiti Dk Samia tuendeelee na mapambano.
Unatakaje pongezi wakati unatimiza wajibu wako tena kwa tozo zetu?Na tunahitaji pongezi zenu pia,ili mtutie moyo tuone kumbe vijana wetu wanatuapriciate na sisi wazee wao kwa kazi ngumu tulioifanya.
Naongea ukweli toka chini ya uvungu wa moyo wangu kijana.CCM hatulali katika kuijenga nchiSasa unakitu unawatafuta vijana bwana muhenga
Siwezi kuyakana maandishi yangu Nelson sana sana labda utake ufafanuziKaka mshana una hakika na ulisemalo au umeandika tu???
Ukienda mansipaa utayaona makusanyo yote na taarifa zake.Unatakaje pongezi wakati unatimiza wajibu wako tena kwa tozo zetu?
Halafu mbona sikuhizi hamtuletei makusanyo ya tozo kama ilivokua awali
Ebu nipe ufafanuzi ndugu yangu.NakusikilizaSiwezi kuyakana maandishi yangu Nelson sana sana labda utake ufafanuzi
Kijana wangu una maswali mengi.Inaonekana darasani ulikua mtukutu wewe.Wahenga tumeona mengi ni vyema ukawa msikivu ufaidi mema ya nchi na baraka za wazee.Unatakaje pongezi wakati unatimiza wajibu wako tena kwa tozo zetu?
Halafu mbona sikuhizi hamtuletei makusanyo ya tozo kama ilivokua awali
Ha Ha Ha Ha Mipango endelevu my foot 50yrs n.k?!Mbeya ipo kwenye mipango endelevu na kwa kuanzia tumeifanya kua jiji.
Unajua ni jukumu kubwa na zito watanzania mliotuamini na kutupa dhamana tuwaongoze.Taratibu tutafikaHa Ha Ha Ha Mipango endelevu my foot 50yrs n.k?!
Jana nilikuwa uwanja wa sokoine sokomatola nikawaza meng mno pia nikafikilia raisi wa mbeya wanaemsifu sijui kabadil nin kwa skmatola pekee.Kijana wangu una maswali mengi.Inaonekana darasani ulikua mtukutu wewe.Wahenga tumeona mengi ni vyema ukawa msikivu ufaidi mema ya nchi na baraka za wazee.
Uliwaza nn mzee mwenzangu pale soko matola mda huo???Jana nilikuwa uwanja wa sokoine sokomatola nikawaza meng mno pia nikafikilia raisi wa mbeya wanaemsifu sijui kabadil nin kwa skmatola pekee.
WANAMAENDELEO KWEL BADO HAWAJAZALIWA
Zilifanyika juhudi kubwa za kupinga pombe kali za viroba sasa zimerudi kwa mgongo wa chupa za plastic.Ebu nipe ufafanuzi ndugu yangu.Nakusikiliza
Endelea zaidi mkuu nakusikiliza then nitakujibuZilifanyika juhudi kubwa za kupinga pombe kali za viroba sasa zimerudi kwa mgongo wa chupa za plastic
Madhara ya kamari yanajulikana duniani kote lakini leo hii kamari zipo mpaka vichochoroni
PONGEZI PEKEE KWA CCM NI HII [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Kijana wewe si umesoma na boom la serikali???PONGEZI PEKEE KWA CCM NI HII [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Vyote hivi viwili ni sumu kubwa kwa vijana wa kesho na nguvukazi ya taifa lakini serikali ya ccm imebariki viwepoEndelea zaidi mkuu nakusikiliza then nitakujibu
Nakujibu mda si mrefuVyote hivi viwili ni sumu kubwa kwa vijana wa kesho na nguvukazi ya taifa lakini serikali ya ccm imebariki viwepo