CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Tupo pamoja mzee mwezangu.Karibu CCM tujenge nchi pamoja.Maana tumetoka nayo mbali
Kipindi tunawaogopesha na TLP hapa mbeya tulitaraji kufika mwaka huu muwe na jiji lenye mpango mzuri na barabara za mitaa na sio vichochoro.

Mzee mwenzangu kwenye vikao vyenu toka uhuru huwa mnajadili nin kuhusu MBEYA?
 
Mbeya ipo kwenye mipango endelevu na kwa kuanzia tumeifanya kua jiji.
 
Unatakaje pongezi wakati unatimiza wajibu wako tena kwa tozo zetu?

Halafu mbona sikuhizi hamtuletei makusanyo ya tozo kama ilivokua awali
Kijana wangu una maswali mengi.Inaonekana darasani ulikua mtukutu wewe.Wahenga tumeona mengi ni vyema ukawa msikivu ufaidi mema ya nchi na baraka za wazee.
 
Kijana wangu una maswali mengi.Inaonekana darasani ulikua mtukutu wewe.Wahenga tumeona mengi ni vyema ukawa msikivu ufaidi mema ya nchi na baraka za wazee.
Jana nilikuwa uwanja wa sokoine sokomatola nikawaza meng mno pia nikafikilia raisi wa mbeya wanaemsifu sijui kabadil nin kwa skmatola pekee.

WANAMAENDELEO KWEL BADO HAWAJAZALIWA
 
Jana nilikuwa uwanja wa sokoine sokomatola nikawaza meng mno pia nikafikilia raisi wa mbeya wanaemsifu sijui kabadil nin kwa skmatola pekee.

WANAMAENDELEO KWEL BADO HAWAJAZALIWA
Uliwaza nn mzee mwenzangu pale soko matola mda huo???
 
Zilifanyika juhudi kubwa za kupinga pombe kali za viroba sasa zimerudi kwa mgongo wa chupa za plastic
Madhara ya kamari yanajulikana duniani kote lakini leo hii kamari zipo mpaka vichochoroni
Endelea zaidi mkuu nakusikiliza then nitakujibu
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
PONGEZI PEKEE KWA CCM NI HII [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom