Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #61
Angalia historia ya vyama vyote vile na ulinganishe ubora na weledi wake na chama cha TANU.Fanya hivyo kwanza afu tuendelee kujadili kaka.Karibu sanaKabla ya 1961 palikuwa na mfumo wa Vyama vingi.
Umewahi kujiuliza vingeendelea kuwepo, na chama cha upinzani kingechukua uongozi mwaka 1970,
Tungekuwa wapi kama Nchi hivi Leo?
Ukuwa kama kijana wa taifa la kesho ni muhimu kujua mchango wa serikali yako.Lugha za kebehi na matusi hazisaidii kutatua changamoto zinazoikabili jamiiNakazia:
Naipongeza CCM kwa kututoa kwenye umasikini na kutupeleka kwenye ufukara.
Nimekuelewa mkuu.Niwie radhi makosa ya kiuchapajiSio fursa ni ruksa rejea mtiririko wa komenti
Kabla ya kwenda huko,Angalia historia ya vyama vyote vile na ulinganishe ubora na weledi wake na chama cha TANU.Fanya hivyo kwanza afu tuendelee kujadili kaka.Karibu sana
Umezaliwa era gani mdogo wangu??CCM ndio sababu ya Ufukara wetu, niheri tungeendelea kutawaliwa na wakoloni
Zilikua sawa kabisa na mwalimu alikua sawa kabisa kufuta mfumo wa vyama vingi ili kujenga nchiKabla ya kwenda huko,
Sababu za kufuata mfumo wa Vyama vingi tulipopata uhuru zilikuwa sawa?
Umezaliwa era gani mdogo wangu??
Sehemu gani wakati hiyo kauli 1970 inatoka mkuuNchini
Mdogo wangu kweli unajua hali halisi za watu wakati wa ukoloni????Au umesoma tu kwenye vitabu???Usitake kutawmabia kuwa umeishi Colonial era kama vile unawaelewa vizuri. Fact zinazungumza walikua bora mno kulinganisha na CCM
Mdogo wangu kweli unajua hali halisi za watu wakati wa ukoloni????Au umesoma tu kwenye vitabu???
Kaka,Ukuwa kama kijana wa taifa la kesho ni muhimu kujua mchango wa serikali yako.Lugha za kebehi na matusi hazisaidii kutatua changamoto zinazoikabili jamii
Hakuna mtu atalalamika kama wote tutakuwa tunaishi kama mawaziri. Siku zote malalamiko hutokana na kutoridhishwa na hali na jambo hilo hutokana na kukosekana usawa.Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Ndipo tulipofanya kosa la msingi kabisa.Zilikua sawa kabisa na mwalimu alikua sawa kabisa kufuta mfumo wa vyama vingi ili kujenga nchi
Sauti iliokuwa inaongea kipindi hiko ni moja kupitia redio Tanzania, na vibwagizo vingi 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti'Sehemu gani wakati hiyo kauli 1970 inatoka mkuu
Aliijenga?Zilikua sawa kabisa na mwalimu alikua sawa kabisa kufuta mfumo wa vyama vingi ili kujenga nchi
Unaweza kufafanua zaidi msomi??Ndipo tulipofanya kosa la msingi kabisa.
Vyama vingi vinazuia vp Nchi kujengwa?
Mawazo na mfumo wa chama kimoja ndo chanzo Cha Umaskini wa watz.
Sijalielewa swali lako mkuu@KweyambaAliijenga?
Unatumia vigezo vipi kusema hivyo mdau??TANU ilikuwapo tangu 1954 Hadi 1977.
Miaka 23 Bado haikutosha kuruhusu vyama vingi, ndo kwanza kikaanzishwa chama kimoja CCM.
Ni dhahiri CCM inapaswa ikae pembeni ijitafakari.