Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #161
Karibu sanaMada hii nzuri mno
Mimim naanzia hapa. Kwako kwa kukuunga mkono.
Pia namuunga mkono
Nelson Jacob lushasi.
CCM imezeeka sana kkifikra na haiwezi tatua matatizo ya nchi hii.
Ina fikra za kiukombozi zaidi kuliko za kisasa.
Kinahitajika Chama Kingine chenye muono chanya.
Kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 90 basi ungetuweka wazi tumetoka wapi na tumefikia wapi. Hili tupime kwa iyo miongo tajwa je tulipofikia ndio potential yetu kwa hicho kipindi au natural course tu.Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Hili ndio swali sahii kabisa mdogo wanguKwa sisi tuliozaliwa miaka ya 90 basi ungetuweka wazi tumetoka wapi na tumefikia wapi. Hili tupime kwa iyo miongo tajwa je tulipofikia ndio potential yetu kwa hicho kipindi au natural course tu.
Unaweza kuongezea zaidi katika hii pointi yako mdauSio sawa kusifia mwenndo wa Kinyonga wakati ilitegemewa mwendo ya Duma.
Unaweza kufafanua zaidi mdau hii pointi
Umezaliwa era ipi mdogo wangu????Tuanzie hapo
Heri CCM ya Miaka ya 60,70 & 80 kuliko CCM hii ya sasa yenye majizi yanayokula kwa kujipimia mpaka kuvimbiwa.Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Maana miaka 60 ya uhuru hata madawati tu mashuleni ni shida. Mimi tangu nipo mdogo kila uchaguzi ukifika nasikia ahadi zile zile tu. Na mtaani ninapoishi naona umasikini unazidi kuongezeka viongozi wanafanya maamuzi ya ovyo mpaka unashangaa na kama mpo sahihi kwamba mlipotufikisha ni pazuri iweje kwenye chaguzi mnatumia nguvu na figisu nyingi sana kwann mnahofia uchaguzi wa haki?Hili ndio swali sahii kabisa mdogo wangu
Kindergarten na ELIMU ya msingi walimu wanatakiwa wa kiwango Cha Degree tena First class.Karibu uendelee tunapokea uchambuzi wako
Nashukuru kwa maoni yako na serikali sikivu itayafanyia kazi.Au labda una lingine la kuongezeaKindergarten na ELIMU ya msingi walimu wanatakiwa wa kiwango Cha Degree tena First class.
Walipwe mshahara mnono na marupurupu, hii itasaidia kujenga msingi mzuri wa Elimu.
KATIBA mpya ni sasa. Amen
Je unaweza kujadili kidogo mafanikio ya serikali ukiachana na hizo changamoto ulizozitaja??Maana miaka 60 ya uhuru hata madawati tu mashuleni ni shida. Mimi tangu nipo mdogo kila uchaguzi ukifika nasikia ahadi zile zile tu. Na mtaani ninapoishi naona umasikini unazidi kuongezeka viongozi wanafanya maamuzi ya ovyo mpaka unashangaa na kama mpo sahihi kwamba mlipotufikisha ni pazuri iweje kwenye chaguzi mnatumia nguvu na figisu nyingi sana kwann mnahofia uchaguzi wa haki? sasa katika hali kama iyo uniambie tulipofika panahitaji pongezi itakua vigumu kukuelewa
Una hakika na uyasemayo su umeyatamka kimhemkoHeri CCM ya Miaka ya 60,70 & 80 kuliko CCM hii ya sasa yenye majizi yanayokula kwa kujipimia mpaka kuvimbiwa.
Yawezekani nimekariri mkuu na sio vibaya ukanisaihisha.Karibu sanaUnaelewa hata maana ya era au umekariri tu kama Kasuku??
Umefanya uchunguzi katika hili au umetamka tu.Ebu fafanua kidogo ndugu yanguKama kweli mpo kutufanikisha kwann huwa mnatumia nguvu nyingi na kupeleka mawazo kwenye chaguzi zijazo na awam iliyopo mnakila ishara ya kuvulunda ?
Kaka unaweza kuyazungumzia hayo mazuri kidogo??Tunasema hivi, tunashukuru kwa yote mliyotufanyia, ikiwemo mazuri kidogo na mabaya mengi. Tunawaomba sasa muheshimu uchaguzi ili mkae pembeni, badala ya kuendelea kupora uchaguzi ili mkae madarakani kwa shuruti.
Maoni yangu hayawezi sikilizwa na Serikali ya CCM,Nashukuru kwa maoni yako na serikali sikivu itayafanyia kazi.Au labda una lingine la kuongezea
Sensa na kukumbiza mwenge nchi nzima bila kuchoka muda wote mliokuwa madarakani.Kaka unaweza kuyazungumzia hayo mazuri kidogo??
Kuna haki na kuna sheria na vyote vina utaratibu wake mdau. Au nakosea? Haki bila kufuata sheria ni vurugu.Maoni yangu hayawezi sikilizwa na Serikali ya CCM,
Hatuiombi CCM Katiba mpya tunaodai.
Sa100 alisema Katiba mpya ni baada ya 2026 Eti tumpe muda.
Baada ya shinikizo, anasema mchakato uanzie bt tukaletewa Tume ya mchongo ya mukandara.
KATIBA mpya ni sasa. HAKI haiombwi.