CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 90 basi ungetuweka wazi tumetoka wapi na tumefikia wapi. Hili tupime kwa iyo miongo tajwa je tulipofikia ndio potential yetu kwa hicho kipindi au natural course tu.
 
Sio sawa kusifia mwenndo wa Kinyonga wakati ilitegemewa mwendo ya Duma.
 
Kwa sisi tuliozaliwa miaka ya 90 basi ungetuweka wazi tumetoka wapi na tumefikia wapi. Hili tupime kwa iyo miongo tajwa je tulipofikia ndio potential yetu kwa hicho kipindi au natural course tu.
Hili ndio swali sahii kabisa mdogo wangu
 
Unaweza kufafanua zaidi mdau hii pointi

Tunasema hivi, tunashukuru kwa yote mliyotufanyia, ikiwemo mazuri kidogo na mabaya mengi. Tunawaomba sasa muheshimu uchaguzi ili mkae pembeni, badala ya kuendelea kupora uchaguzi ili mkae madarakani kwa shuruti.
 
Kama kweli mpo kutufanikisha kwann huwa mnatumia nguvu nyingi na kupeleka mawazo kwenye chaguzi zijazo na awam iliyopo mnakila ishara ya kuvulunda ?
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Heri CCM ya Miaka ya 60,70 & 80 kuliko CCM hii ya sasa yenye majizi yanayokula kwa kujipimia mpaka kuvimbiwa.
 
Hili ndio swali sahii kabisa mdogo wangu
Maana miaka 60 ya uhuru hata madawati tu mashuleni ni shida. Mimi tangu nipo mdogo kila uchaguzi ukifika nasikia ahadi zile zile tu. Na mtaani ninapoishi naona umasikini unazidi kuongezeka viongozi wanafanya maamuzi ya ovyo mpaka unashangaa na kama mpo sahihi kwamba mlipotufikisha ni pazuri iweje kwenye chaguzi mnatumia nguvu na figisu nyingi sana kwann mnahofia uchaguzi wa haki?

Sasa katika hali kama iyo uniambie tulipofika panahitaji pongezi itakua vigumu kukuelewa
 
Kindergarten na ELIMU ya msingi walimu wanatakiwa wa kiwango Cha Degree tena First class.

Walipwe mshahara mnono na marupurupu, hii itasaidia kujenga msingi mzuri wa Elimu.

KATIBA mpya ni sasa. Amen
Nashukuru kwa maoni yako na serikali sikivu itayafanyia kazi.Au labda una lingine la kuongezea
 
Maana miaka 60 ya uhuru hata madawati tu mashuleni ni shida. Mimi tangu nipo mdogo kila uchaguzi ukifika nasikia ahadi zile zile tu. Na mtaani ninapoishi naona umasikini unazidi kuongezeka viongozi wanafanya maamuzi ya ovyo mpaka unashangaa na kama mpo sahihi kwamba mlipotufikisha ni pazuri iweje kwenye chaguzi mnatumia nguvu na figisu nyingi sana kwann mnahofia uchaguzi wa haki? sasa katika hali kama iyo uniambie tulipofika panahitaji pongezi itakua vigumu kukuelewa
Je unaweza kujadili kidogo mafanikio ya serikali ukiachana na hizo changamoto ulizozitaja??
 
Kama kweli mpo kutufanikisha kwann huwa mnatumia nguvu nyingi na kupeleka mawazo kwenye chaguzi zijazo na awam iliyopo mnakila ishara ya kuvulunda ?
Umefanya uchunguzi katika hili au umetamka tu.Ebu fafanua kidogo ndugu yangu
 
Tunasema hivi, tunashukuru kwa yote mliyotufanyia, ikiwemo mazuri kidogo na mabaya mengi. Tunawaomba sasa muheshimu uchaguzi ili mkae pembeni, badala ya kuendelea kupora uchaguzi ili mkae madarakani kwa shuruti.
Kaka unaweza kuyazungumzia hayo mazuri kidogo??
 
Nashukuru kwa maoni yako na serikali sikivu itayafanyia kazi.Au labda una lingine la kuongezea
Maoni yangu hayawezi sikilizwa na Serikali ya CCM,

Hatuiombi CCM Katiba mpya tunaodai.

Sa100 alisema Katiba mpya ni baada ya 2026 Eti tumpe muda.

Baada ya shinikizo, anasema mchakato uanzie bt tukaletewa Tume ya mchongo ya mukandara.

KATIBA mpya ni sasa. HAKI haiombwi.
 
Kuna haki na kuna sheria na vyote vina utaratibu wake mdau. Au nakosea? Haki bila kufuata sheria ni vurugu.

Au nakosea?
 
Back
Top Bottom