Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Pongezi huwa haiombwi wala kuombewa.Pongezi hutolewa na mtu anapoona,kuhisi au kuridhika na hali,matendo au lolote alilolikubali.Upo sahii kaka.Karibu uchangie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pongezi huwa haiombwi wala kuombewa.Pongezi hutolewa na mtu anapoona,kuhisi au kuridhika na hali,matendo au lolote alilolikubali.Upo sahii kaka.Karibu uchangie
Ama kweli ccm ni ile ile na wanaccm wake🙆🙆🙆🙆Nimekuiliza swali la msingi mwanangu.Ungenijibu ungenielewa kwa mapana zaidi
Tatizo la vijana ndio hilo.Wanapenda kulalamika na kupinga kila kitu badala ya kujifunza na huo ni udhaifu mkubwa wa vijana wasomi wa leo wa kitanzania.Watakuja kupinga badala ya kujifunza
Upo sahii mwanangu,karibu ccm kwa wazee wako ujifunze mengi.Ama kweli ccm ni ile ile na wanaccm wake🙆🙆🙆🙆
Ila shukrani ni muhimu kwa yale yote yanayoonekana.Au nakosea mdauPongezi huwa haiombwi wala kuombewa.Pongezi hutolewa na mtu anapoona,kuhisi au kuridhiks na hali,matendo au lolote alilolikubali.
Tatizo la vijana ndio hilo.Wanapenda kulalamika na kupinga kila kitu badala ya kujifunza na huo ni udhaifu mkubwa wa vijana wasomi wa leo wa kitanzania.
Shukrani hutolewa baada ya kuridhika,kutosheka kwa mambo au hata maneno kadiri ya maono ya mtu.Mbali na hivyo utalazika kuonewa huruma au kuchukiwa au hata kufurushwa.Ila shukrani ni muhimu kwa yale yote yanayoonekana.Au nakosea mdau
Over my dead body.Upo sahii mwanangu,karibu ccm kwa wazee wako ujifunze mengi.
Karibu uchangie kakaAhsante kwa taarifa...
Pela maneno ya wakubwa ni DAAWA!!Over my dead body.
Mafanikio yanaweza kuwepo ila lazima tuangalie je hayo mafanikio yanaendana na potential yetu?Je unaweza kujadili kidogo mafanikio ya serikali ukiachana na hizo changamoto ulizozitaja??
Kwahiyo kama kijana wa kitanzania unadhani serikali yetu haihitaji pongezi kwa tulipofika kutokea 1960 mpaka leo maana mazuri yapo.Shukrani hutolewa baada ya kuridhika,kutosheka kwa mambo au hata maneno kadiri ya maono ya mtu.Mbali na hivyo utalazika kuonewa huruma au kuchukiwa au hata kufurushwa.Siyo lazima ushukuriwe tu.Kuna namna nyingi za kuonesha muitikio wa mtu.Uwe hasi au chanya si kazi yako kujichagulia.
NopKwahiyo wewe unatazama hilo tu na kuona serikali haijafanya lolote tokea 1960??
Unadhani mafanikio yapo kidogo kidogo kaka kuliko changamoto??Mafanikio yanaweza kuwepo ila lazima tuangalie je hayo mafanikio yanaendana na potential yetu? Tukisema tuangalie mafanikio tu kama yapo kidogo hapo ni sawa na kusema tushukuru kwa hicho hicho kidogo wakati tulitakiwa kupata kikubwa zaidi ya hapo iyo ni mentality ya kinyonge sana uwezi ukashukuru kupewa shilingi 500 wakati kiuhalisia ulitakiwa kupewa laki moja. Ndo maana nikataka ueleze tulipotoka na tulipofika ili tuangalie je tulipofika ilikua ni potential yetu au natural course tu
Pongezi au lawama nitatoa kadiri nilivyohisi au kuona.Unapaswa utulie na usubiri muitikio.Siyo kuomba hongera au unichagulie hukumu uitakayo.Kwahiyo kama kijana wa kitanzania unadhani serikali yetu haihitaji pongezi kwa tulipofika kutokea 1960 mpaka leo maana mazuri yapo.
Ni vyema ukatujuza hayo mengi serikali ya ccm iliyofeli,japo kwa machache nduguNop
Ila kwa muktadha huu tu,
yako mengi ambayo CCM imefeli. na machache waliyojaribu kuyatatua.
Ila mada umeielewa vizuri???Au mimi sijakuelewa kaka.Pongezi au lawama nitatoa kadiri nilivyohisi au kuona.Unapaswa utulie na usubiri muitikio.Siyo kuomba hongera au unichagulie hukumu uitakayo.
Hivi,ukishindwa kuendana na mapigo ya comments hilo swali ndilo hutumika kung'ang'aniza mchangiaji awe unapopataka?Ila mada umeielewa vizuri???Au mimi sijakuelewa kaka.