CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Ñi sawa sawa na mpongeza mfuga mbwa anayetegemea mavi ya walevi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la vijana ndio hilo.Wanapenda kulalamika na kupinga kila kitu badala ya kujifunza na huo ni udhaifu mkubwa wa vijana wasomi wa leo wa kitanzania.

Vijana wanapenda vitu lainilaini rahisirahisi tuuuuuuu yaani wanapenda kufanyiwa🙄
 
Ila shukrani ni muhimu kwa yale yote yanayoonekana.Au nakosea mdau
Shukrani hutolewa baada ya kuridhika,kutosheka kwa mambo au hata maneno kadiri ya maono ya mtu.Mbali na hivyo utalazika kuonewa huruma au kuchukiwa au hata kufurushwa.

Siyo lazima ushukuriwe tu.Kuna namna nyingi za kuonesha muitikio wa mtu. Uwe hasi au chanya si kazi yako kujichagulia.
 
Je unaweza kujadili kidogo mafanikio ya serikali ukiachana na hizo changamoto ulizozitaja??
Mafanikio yanaweza kuwepo ila lazima tuangalie je hayo mafanikio yanaendana na potential yetu?

Tukisema tuangalie mafanikio tu kama yapo kidogo hapo ni sawa na kusema tushukuru kwa hicho hicho kidogo wakati tulitakiwa kupata kikubwa zaidi ya hapo iyo ni mentality ya kinyonge sana uwezi ukashukuru kupewa shilingi 500 wakati kiuhalisia ulitakiwa kupewa laki moja.

Ndo maana nikataka ueleze tulipotoka na tulipofika ili tuangalie je tulipofika ilikua ni potential yetu au natural course tu
 
Shukrani hutolewa baada ya kuridhika,kutosheka kwa mambo au hata maneno kadiri ya maono ya mtu.Mbali na hivyo utalazika kuonewa huruma au kuchukiwa au hata kufurushwa.Siyo lazima ushukuriwe tu.Kuna namna nyingi za kuonesha muitikio wa mtu.Uwe hasi au chanya si kazi yako kujichagulia.
Kwahiyo kama kijana wa kitanzania unadhani serikali yetu haihitaji pongezi kwa tulipofika kutokea 1960 mpaka leo maana mazuri yapo.
 
Mafanikio yanaweza kuwepo ila lazima tuangalie je hayo mafanikio yanaendana na potential yetu? Tukisema tuangalie mafanikio tu kama yapo kidogo hapo ni sawa na kusema tushukuru kwa hicho hicho kidogo wakati tulitakiwa kupata kikubwa zaidi ya hapo iyo ni mentality ya kinyonge sana uwezi ukashukuru kupewa shilingi 500 wakati kiuhalisia ulitakiwa kupewa laki moja. Ndo maana nikataka ueleze tulipotoka na tulipofika ili tuangalie je tulipofika ilikua ni potential yetu au natural course tu
Unadhani mafanikio yapo kidogo kidogo kaka kuliko changamoto??
 
Kwahiyo kama kijana wa kitanzania unadhani serikali yetu haihitaji pongezi kwa tulipofika kutokea 1960 mpaka leo maana mazuri yapo.
Pongezi au lawama nitatoa kadiri nilivyohisi au kuona.Unapaswa utulie na usubiri muitikio.Siyo kuomba hongera au unichagulie hukumu uitakayo.
 
Back
Top Bottom