Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mkuu haina haja ya kuchoshana eleza kwa mapana tulipotoka na tulipo ili tuone kama tulinganishe na mkondo wa dunia unavyoenda na hapo ndio tutaona kama kuna haja ya kutoa pongezi.Unadhani mafanikio yapo kidogo kidogo kaka kuliko changamoto??
Mimi naanza kuijua hela nipo darasa la kwanza by then dola moja ilikua sawa na shilingi 600 ila leo hii dola moja ni shilingi 2300 kwa maana iyo thamani ya hela yetu inashika thats means strategies zetu kiuchumi ni mbovu sasa katika hali iyo ukiniambia nitoe pongezi nitapata tabu sana kukuelewa.
Umeanza kwa kutuambia ambao hatukwepi miaka ya 60,70,80 hatuwezi kujua tulipotoka ndio maana nikaomba utufafanulie sisi tuliozaliwa miaka 90 uko tzlipotoka hali ilikuaje ili tutoe pongezi je miaka ya 80 tatizo la ukosefu wa ajira lilikua kubwa zaidi ya sasa?
Ufisadi ulikua mkubwa zaidi ya sasa? n.k