CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Unadhani mafanikio yapo kidogo kidogo kaka kuliko changamoto??
Mkuu haina haja ya kuchoshana eleza kwa mapana tulipotoka na tulipo ili tuone kama tulinganishe na mkondo wa dunia unavyoenda na hapo ndio tutaona kama kuna haja ya kutoa pongezi.

Mimi naanza kuijua hela nipo darasa la kwanza by then dola moja ilikua sawa na shilingi 600 ila leo hii dola moja ni shilingi 2300 kwa maana iyo thamani ya hela yetu inashika thats means strategies zetu kiuchumi ni mbovu sasa katika hali iyo ukiniambia nitoe pongezi nitapata tabu sana kukuelewa.

Umeanza kwa kutuambia ambao hatukwepi miaka ya 60,70,80 hatuwezi kujua tulipotoka ndio maana nikaomba utufafanulie sisi tuliozaliwa miaka 90 uko tzlipotoka hali ilikuaje ili tutoe pongezi je miaka ya 80 tatizo la ukosefu wa ajira lilikua kubwa zaidi ya sasa?

Ufisadi ulikua mkubwa zaidi ya sasa? n.k
 
Mkuu haina haja ya kuchoshana eleza kwa mapana tulipotoka na tulipo ili tuone kama tulinganishe na mkondo wa dunia unavyoenda na hapo ndio tutaona kama kuna haja ya kutoa pongezi. Mimi naanza kuijua hela nipo darasa la kwanza by then dola moja ilikua sawa na shilingi 600 ila leo hii dola moja ni shilingi 2300 kwa maana iyo thamani ya hela yetu inashika thats means strategies zetu kiuchumi ni mbovu sasa katika hali iyo ukiniambia nitoe pongezi nitapata tabu sana kukuelewa. Umeanza kwa kutuambia ambao hatukwepi miaka ya 60,70,80 hatuwezi kujua tulipotoka ndio maana nikaomba utufafanulie sisi tuliozaliwa miaka 90 uko tzlipotoka hali ilikuaje ili tutoe pongezi je miaka ya 80 tatizo la ukosefu wa ajira lilikua kubwa zaidi ya sasa? Ufisadi ulikua mkubwa zaidi ya sasa? n.k
Analazimisha pongezi?Akupige halafu akuchagulie style ya kilio!
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
kwani kuna mtu anayesema kuwa hakuna mabadiriko yoyote?!!ila tunaonekana kubwa jinga kutokana na nchi nyingi hasa za ASIA tulizokuwa karibu sawa nazo miaka hiyo ya 60,walipo sasa?!na sisi hadi leo tu maji safi na salama, vyoo ni mambo ya kuwekewa mkakati?!!
 
kwani kuna mtu anayesema kuwa hakuna mabadiriko yoyote?!!ila tunaonekana kubwa jinga kutokana na nchi nyingi hasa za ASIA tulizokuwa karibu sawa nazo miaka hiyo ya 60,walipo sasa?!na sisi hadi leo tu maji safi na salama, vyoo ni mambo ya kuwekewa mkakati?!!
Wala hakuna mtu anayetuona kubwa jinga mkuu.
 
Ukigusa almost nyanja zote utaona tunarudi nyuma pale mabadiliko yaliyopo ni kutokana mkondo wa dunia tu ila mtoa mada anataka tutoe pongezi bila kutuambia ni kipi ambacho tunatakiwa kupongeza
Nitaanza kuelezea vitu vya kutoa pongezi.Karibu sana kaka kwenye mada
 
Hapana mdogo wangu.Lakini vijana wengi wa kitanzania mna mihemuko ya kisiasa zaidi kuliko ukweli halisia
Kumbusho kwako.Kuna neno "mkuu" hutumika kumu-address member yeyote humu JF.Unaweza ukawa unabishana na robot ukamuita ndugu yako.

Au member aliyekuzidi umri miaka mingi ukamuita mdogo wako. Ukamuita member shangazi yako kumbe ni baba yako mkubwa. Zingatia hilo mtu wa pongezi.
 
Vijana wa kitanzania hasa wasomi ni mabingwa wa kulalamika hata yale mazuri amabayo serikali imewafanyia toka 1960 waga hamuyaoni mdau.
Lazima kuwe na kipimo cha matokeo hata darasani mwanafunzi aliepata 5/100 anaesabiwa amefeli hatuwezi kumpa pongezi kwamba amefanya vizuri kwa sababu hajapata 0. Unataka tutoe pongezi bila kusema tumetoka wapi, tupo wapi na kipimo kipi kitumike kama determinant ya matokeo.

Mmeshindwa kuja na sera nzuri za uchumi lawama mnarushia wasomi serikali haitoi ajira kwa miaka 6 mfululizo, kodi kandamizi na utitiri wa tozo zinakwamisha watu kujiajiri kosa la hao wasomi liko wapi hapo
 
Lazima kuwe na kipimo cha matokeo hata darasani mwanafunzi aliepata 5/100 anaesabiwa amefeli hatuwezi kumpa pongezi kwamba amefanya vizuri kwa sababu hajapata 0. Unataka tutoe pongezi bila kusema tumetoka wapi, tupo wapi na kipimo kipi kitumike kama determinant ya matokeo. Mmeshindwa kuja na sera nzuri za uchumi lawama mnarushia wasomi serikali haitoi ajira kwa miaka 6 mfululizo, kodi kandamizi na utitiri wa tozo zinakwamisha watu kujiajiri kosa la hao wasomi liko wapi hapo
Asipokuelewa basi tena.Ajabu hii.Udai tupongezi!Kwa lipi?Nipo paleee navuta kiko yangu yenye tumbaku mbichi.
 
Kumbusho kwako.Kuna neno "mkuu" hutumika kumu-address member yeyote humu JF.Unaweza ukawa unabishana na robot ukamuita ndugu yako.Au member aliyekuzidi umri miaka mingi ukamuita mdogo wako.Ukamuita member shangazi yako kumbe ni baba yako mkubwa.Zingatia hilo mtu wa pongezi.
Nashukuru mkuu nitazingatia.Lakini nina swali naomba nikuulize
 
Back
Top Bottom