Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ila leo kwenye uzi huu nimeamua kuyafikiria mazuri ya ccm. Kama unafahamu mikoa ya Tz hata ile famous namna ilivyokuwa wakati wa uhuru utakubaliana na mm kuwa kuna kitu wamefanya.CCM imefeli kuweka Mfumo mzuri wa Kutawala Tanzania na Kugawa Maendeleo Kwa Usawa.
Mabadiliko yote yako kwenye Miji mikuu tuu.
Hadi leo Kuna Vijiji na wilaya haziwezi kufikika kwa ukosefu wa Bara bara na mipango ya Miundo mbinu.
Serikali inaishia Kuimarisha Dar es salaam tuu na Dodoma na Mwanza na Arusha.
Muundo wa Majimbo ingeliisaidia nchi yetu kupata maendeleo kwa haraka ,lakini CCM wanawaogopa Raia wao.
Wakati mwingine kuna maslahi katika kuiponda pia. Mleta mada kawakumbusha watu waliozaliwa miaka ya 80 kurudi nyuma wakumbuke mazuri ya ccm na kama umezaliwa miaka hiyo, kuna mazuri utayaona. Mabaya yapo ya kutosha, ila si tunayaongea kila siku?Ukiona Mtu anaipongeza CCm na kuisifu ,juwa ya kuwa amepata fupa anngongona .
Huku 70% ya watanzania wakibaki bila Ajira za kueleweka, wakiwa na maisha ya Kubahatisha.
Karibu kaka uchangie.Karibu sanaWatu wenye low Iq ndyo watakuelewa tu.!!
Kwani msimamo huo ni msimamo usio sahii kwa maoni yako??TAZAMA CCM NDO HII NA FIKRA ZAKE DUNI ZA KIMAPINDUZI
''Mzee Wasira amenukuliwa akisema hata kama mchakato wa katiba mpya utaanza msimamo wa CCM ni Serikali 2 kama wapinzani watataka serikali 3 basi mchakato huo utakufa tena na haitapatikana katiba mpya.''
iVI UNAPONGEZA NINI KAMA HAPO IKIWA MTAZAMO WA hAWA WALEZI NA WAZEE WA CHAMA NI HUU ULIO KINYUME NA MAONI YA WANANCHI WALIOWENGI.?
CCM kwishneh zama zake zimepita haina SERA wala DIRA
Jibu kwanza pale juu.Kwani msimamo huo ni msimamo usio sahii kwa maoni yako??
Upo sahii kaka.Wewe umenielewa kwa usahii kabisa.Karibu uchangie kakaWakati mwingine kuna maslahi katika kuiponda pia. Mleta mada kawakumbusha watu waliozaliwa miaka ya 80 kurudi nyuma wakumbuke mazuri ya ccm na kama umezaliwa miaka hiyo, kuna mazuri utayaona. Mabaya yapo ya kutosha, ila si tunayaongea kila siku?
Nina swali moja nikuulize ndugu yangu.Haya maoni yako ni ya kiitikadi,kisiasa au unadhani vijana wengi wa nchii hii wana mtazamo kama huu???Jibu kwanza pale juu.
Msimamo huu ni batili,
Hii nchi si mali ya Chama kimoja ,huwezi ukapinga maoni ya wengi.
Ila unajua tulipotoka mdauCCM imefeli kuweka Mfumo mzuri wa Kutawala Tanzania na Kugawa Maendeleo Kwa Usawa.
Mabadiliko yote yako kwenye Miji mikuu tuu.
Hadi leo Kuna Vijiji na wilaya haziwezi kufikika kwa ukosefu wa Bara bara na mipango ya Miundo mbinu.
Serikali inaishia Kuimarisha Dar es salaam tuu na Dodoma na Mwanza na Arusha.
Muundo wa Majimbo ingeliisaidia nchi yetu kupata maendeleo kwa haraka ,lakini CCM wanawaogopa Raia wao.
Ahaa najua, Ukitia dawa kwenye kidonda ,kikipona unatupa lile bendej.Ila unajua tulipotoka mdau
Changamoto hazikosekani katika uongozi wowote.Lakini tulipotoka ni mbaliCCM imefeli kuweka Mfumo mzuri wa Kutawala Tanzania na Kugawa Maendeleo Kwa Usawa.
Mabadiliko yote yako kwenye Miji mikuu tuu.
Hadi leo Kuna Vijiji na wilaya haziwezi kufikika kwa ukosefu wa Bara bara na mipango ya Miundo mbinu.
Serikali inaishia Kuimarisha Dar es salaam tuu na Dodoma na Mwanza na Arusha.
Muundo wa Majimbo ingeliisaidia nchi yetu kupata maendeleo kwa haraka ,lakini CCM wanawaogopa Raia wao.
Sizungumzii mengine bali kimaendeleo mdau.Tumetoka mbali sanaAhaa najua, Ukitia dawa kwenye kidonda ,kikipona unatupa lile bendej.
Sasa CCM ni kama Bendej, Kutafuta uhuru ilikuwa kazi ya tanu na ASP, sasa tuko huru hatuwezi tena kwenda na sera zile zile
Bendeji litolewe ili ngozi iwe ze kunawiri nakupata mwanga.
UHURU uwe kwa wote.
\yatosha.
Tutaishukuru CCM kwa kuleta Uhuru na Utengamano kama wakiachia nchi kwa hiaribila mikwaruzano.
ikiwa kinyume chake italaaniwa.
Poa boss.Upo sahii kaka.Wewe umenielewa kwa usahii kabisa.Karibu uchangie kaka
Salama kabisa hajambo vp wewe?Achana na kada wa CCM. Mambo chimama anaendeleaje??
Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru bado mnashangilia ujenzi wa madarasa, wanafunzi wanakaa chini na walimu hawajulikani wanalala wapiKwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Bado hujakata tamaa ya uteuzi?Naunga mkono hoja.
P
Siku hizi kazi Yako ni kuunga mkono hoja TU? Toa nenoNaunga mkono hoja.
P
Karibu uchangie mdauAchana na kada wa CCM. Mambo chimama anaendeleaje??
Karibu uchangie mkuuB
Bado hujakata tamaa ya uteuzi?