Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Mbona mhenga unataka nimwage pongezi wakati watoto hawana walimu wa sayansi wakati wamejaa mtaani hawaajiriwi?Nakuelewa kijana wangu,na nategemea utatupa mkono wa pongezi kwa hapa tulipowafikisha since 1960.
Muhenga yani utaacha tukushawishi ufute pongezi zako