CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Nakuelewa kijana wangu,na nategemea utatupa mkono wa pongezi kwa hapa tulipowafikisha since 1960.
Mbona mhenga unataka nimwage pongezi wakati watoto hawana walimu wa sayansi wakati wamejaa mtaani hawaajiriwi?

Muhenga yani utaacha tukushawishi ufute pongezi zako
 
Bongo is all slums, mitaa michafu wala haijapimwa , hakuna maji wala umeme wa kuaminika, mitaa mizuri ni ile ya mkoloni, hata sehemu mpya makazi ya watu ni juhudi za watu maana watu wanajitahidi kujenga nyumba nzuri lakini barabara na huduma muhimu kazi ya serikali ya CCM ni big let down, CCM imeturudisha nyuma sana na ndio chanzo cha umaskini na wamefanya hata uchaguzi usiwe na maana tena nchini kwa ajiri ya wizi wao wa kura
Ukiachana na juhudi binafsi za watu kujiletea maendeleo , huduma zote ambazo serikali inatakiwa kutoa ni TAKATAKA KABISA.
  • Elimu
  • Umeme
  • Maji
  • Usalama
  • Mfumo haki
  • Utumishi

Yaani hata vile tulivyoachiwa n mkoloni vimekufa na vile vilivyojenhwa enzi za Nyerere vimekufa vile vile.
 
Hapo unazidi kumpunguzia mhenga mleta credit zake ila ashaelewa kwamba uhitaji wa huduma za kijamii nimkubwa na muitikio wa serikali nimdogo bado
 
Mbona mhenga unataka nimwage pongezi wakati watoto hawana walimu wa sayansi wakati wamejaa mtaani hawaajiriwi?
Muhenga yani utaacha tukushawishi ufute pongezi zako
Hizo changamoto ndogo ndogo waga hazikosekani kwenye nchi yoyote kijana wangu.Tunazifanyia kazi
 
Hapo unazidi kumpunguzia mhenga mleta credit zake ila ashaelewa kwamba uhitaji wa huduma za kijamii nimkubwa na muitikio wa serikali nimdogo bado
Vijana wangu inabidi nije niwape somo la uzalendo na uraia.Changamoto hazikosekani ila zinatatuliwa,
 
Ukiachana na juhudi binafsi za watu kujiletea maendeleo , huduma zote ambazo serikali inatakiwa kutoa ni TAKATAKA KABISA.
  • Elimu
  • Umeme
  • Maji
  • Usalama
  • Mfumo haki
  • Utumishi

Yaani hata vile tulivyoachiwa n mkoloni vimekufa na vile vilivyojenhwa enzi za Nyerere vimekufa vile vile.
Kijana wangu upo serious kweli kuziita huduma za serikali takataka??
 
Mada kama hizi ndio huwafanya ufika kutukana badala ya kutoa hoja.
Usiku na mchana hatulali,tunajenga nchi,msitutukane bali tunahitaji pongezi ili serikali yenu sikivu chini ya utawala wa CCM na mwenyekiti Dk Samia tuendeelee na mapambano.
 
Back
Top Bottom