balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nyingine hiiNguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Kwanza gwajima ni mtu ambaye anatumia akili saana kuliko huwezi hata kumfananisha na wengineNguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Hata 'matapeli' huwa wanatumia akili wanapotapeli lakini kwa bahati mbaya na yenye 'kimavi' kwa huyo gwajiboy the pornstar ni kuwa kaingia kutapeli kwa watu 'smart' na mpaka sasa joto ya Jiwe anaipata kimyakimya'!Kwanza gwajima ni mtu ambaye anatumia akili saana kuliko huwezi hata kumfananisha na wengine
Gwajima kawe anatoshaa
muoe wewe basi mkuuNdio mbunge wa kawe huyo, kubali kataa! Mdee akatatute mume tu..
Nakubaliana na wewe, kama watoto wanachukia somo hawatampenda mwalimu wake.Kwa kupindua meza kama kawaida.
Mtu mwenye morals na akili hawezi kumchagua Gwajima.
Na hata yeye Rais kwa kutetea kwake uovu hapati kura za kutosha particularly Dar...hilo nakuambia
Lugha ya ushawishi kama ya mbelgiji au nani?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.
Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Kama wapinzan hawaogop kushindwa kwanin wanatumia mda mwingi kumchafua Gwajima na kumsema vibaya kuliko hata kunadi sera zao yan kila mahali ni Gwajima Gwajima inaonyesha ni jinsi gani Gwajima anawanyima Usingizi Hasa Halima mdeee Gwajima oyeeeeSasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.
Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Wewe ni zezeta......ingia u tube utamjua Gwajima ni nani...hao wapinzani wala usiwaingize.Kama wapinzan hawaogop kushindwa kwanin wanatumia mda mwingi kumchafua Gwajima na kumsema vibaya kuliko hata kunadi sera zao yan kila mahali ni Gwajima Gwajima inaonyesha ni jinsi gani Gwajima anawanyima Usingizi Hasa Halima mdeee Gwajima oyeeee
Yanafaa nini hayo machache aliyofanya kwa kodi zetu ikiwa watu wanateseka kwa madhila mabaya anayowatendea!!uwezi kunywea maziwa kwenye kopo la chooni!!Vipi upande wa pili wa sarafu ukoje?
Je hajafanya mambo mazuri?
Punguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Yanafaa nini hayo machache aliyofanya kwa kodi zetu ikiwa watu wanateseka kwa madhila mabaya anayowatendea!!uwezi kunywea maziwa kwenye kopo la chooni!!
Kuna jambo zuri zaidi ya utu, haki, uhai na uhuru dunia hii ?Vipi upande wa pili wa sarafu ukoje?
Je hajafanya mambo mazuri?
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na YangaNguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.