Uchaguzi 2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

Sijajua ni vigezo gani walitumia CCM kumuweka huyu jamaa....

Kama lilikuwa ni pendekezo la mwenye kigoda basi wanaondoka naye!!
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana anasema nileteeni Gwajima akiwa na maana kuwa yeye tayari kapita kwa kuwa anauhakika na Mahela na team yake .....!!
Hata mtangaza matokeo hatashawishika kufoji kura za Gwajima!
 
Unahitaji msaada wa kiroho. Kama za Gwajima kwako ni nguvu, haishangazi wewe ni msukule!


Siwezi kuwa vile unaweza kuzani bali niko vile nilivyo kwa kadiri ya rehema na neeema za Mungu zinavyoachiliwa kwangu kila siku asubuhi!

Gwajima hazuiliki.
 
Siwezi kuwa vile unaweza kuzani bali niko vile nilivyo kwa kadiri ya rehema na neeema za Mungu zinavyoachiliwa kwangu kila siku asubuhi!

Gwajima hazuiliki.
MWENYE REHEMA NA NEEMA HAWEZI KUWEKEZA IMANI YAKE KWA GWAJIMA! MISUKULE MKO WACHACHE MNO, MNAPIGWA MAPEMA TU. NA CCM WOTE WENYE AKILI TIMAMU WAMEISHAMFUTA MAPEMA HUYO TAPELI...
 

 
Punguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.
Wananchi wa wapi wameamua? hakuna mwananchi wa kuamua kumpigia kura Gwajima labda muibe kura atakuwa Mchungaji mwizi wa kura
 
MWENYE REHEMA NA NEEMA HAWEZI KUWEKEZA IMANI YAKE KWA GWAJIMA! MISUKULE MKO WACHACHE MNO, MNAPIGWA MAPEMA TU. NA CCM WOTE WENYE AKILI TIMAMU WAMEISHAMFUTA MAPEMA HUYO TAPELI...


Usiemtaka anakuja , jipange kumpokea!

Gwajima hazuiliki!

Hakuna namna Halima anaweza kufaa tena!

Mmefilisika kwa hoja mmekazana kutumia nguvu kubwa kuonesha kuwa Gwajima ni tapeli nikikuuliza utapeli wake ni upi kwa mfano?

Je unaweza kuuthibitisha?
 
Kama hujui kuwa Gwajima ni tapeli, basi upo Dar es Salaam kwa bahati mbaya! Gwajima hashindi, na mkimshindisha mtabaki midomo wazi. Kama mnafikiri wananchi ni wajinga, safari hii mtajua kumbe mlikuwa mnajidanganya. Kawe hatuwezi kuongozwa na TAPELI. Tumewaambia Kawe hatuishi Misukule, Pumbav!
 


Mbona inaumika nguvu kubwa sana!!
 
Gwajima amchague yeye, sisi tutamchagua Halima Mdee.

Wasukuma warudi shamba mjini ni kuaibishana tu.

Angesema tumpelekew Halima Mdee tungemuelewa,sasa anamlilia Gwajiboy wa nini?!
 
Nimesikia gwajima atamleta mia Khalifa na mandingo bongo waje kufanya utalii ni dhahiri hawa ni pornstars wenzake
 


Tarehe 28-10-2020 siyo mbali wacha tusiandikie mate wakati wino upo !

Gwajima hazuiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…