Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hapa ndipo sioni viongozi wa CCM wakielezea. Hata wale chakubimbi wao wanajaza server za ulimwengu lakini hukuti mahali wameelezea nani aliwaua walioandamana.SWALI 👇🏻
Baada ya hao watu kuwahamasisha ni wale wale ndo walikwenda kuwaua tena?
Ushirika wa wachawi haudumu siku moja kila kitu kitakuwa wazi.Hapa ndipo sioni viongozi wa CCM wakielezea. Hata wale chakubimbi wao wanajaza server za ulimwengu lakini hukuti mahali wameelezea nani aliwaua walioandamana.
Aisee... Hapo ngariba hakamatwi.Hiyo ni kesi ya ukeketaji afu ngariba ni diwani wa kata kwenye kijiji
Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025.
Viongozi hao wa CCM husema vijana hao walivutishwa bangi na kupewa hela ili waandamane.
Na kwenye mikutano yao hiyo huelezea kwa kina jinsi vijana hao walivyochoma majengo, vituo vya mafuta na magari.
Lakini mpaka sasa sijaona hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema hadharani ni nani hasa aliyewaua wale vijana waliokuwa wanaandamana.
Ina maana viongozi wa CCM wanajua kulikuwa na maandamano na uharibifu wa mali ila hawajui kama kuna watu waliuawa na ni kina nani waliowaua watu hao?
Lakini hakuna mahali viongozi wa CCM wamewahi kusema kuwa walioua waandamanaji ni polisi.Waliopewa pesa na Kuvuta bangi sio walioandamana na kuuliwa. Bali ni wale mapolisi.
Hainijii akilini Polisi uone Mmama anakimbilia ndani...
Nitafurahi sana tukiwajua wahusikaUshirika wa wachawi haudumu siku moja kila kitu kitakuwa wazi.
Na nadhani ile tume ya Jaji Lila isipokuja na jibu la ni nani aliua watu siku ile, itakuwa ni kazi bure.Nitafurahi sana tukiwajua wahusika
Mpaka leo najiuliza CHADEMA tumeshindwa nini kuwataja wauaji na waliosababisha maandamano haramLakini hakuna mahali viongozi wa CCM wamewahi kusema kuwa walioua waandamanaji ni polisi.
Inaonesha hata machawa wao humu JF hawajui nani aliwaua wale waandamanaji. Maana kama wengewajua wangeshawataja.
Vijana wale hawakuwa wanaamdamana, bali walikuwa wanafanya fujo na vurugu ili nchi iingie kwenye machafuko. Walichokipata walistahili!Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025.
Viongozi hao wa CCM husema vijana hao walivutishwa bangi na kupewa hela ili waandamane.
Na kwenye mikutano yao hiyo huelezea kwa kina jinsi vijana hao walivyochoma majengo, vituo vya mafuta na magari.
Lakini mpaka sasa sijaona hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema hadharani ni nani hasa aliyewaua wale vijana waliokuwa wanaandamana.
Ina maana viongozi wa CCM wanajua kulikuwa na maandamano na uharibifu wa mali ila hawajui kama kuna watu waliuawa na ni kina nani waliowaua watu hao?
Hakuna mtu anayehoji walichokipata walistahili au lah! Nani ALIYEWAUA?Vijana wale hawakuwa wanaamdamana, bali walikuwa wanafanya fujo na vurugu ili nchi iingie kwenye machafuko. Walichokipata walistahili!
Unafuatilia kweli mambo ya siasa za nchi hii? CHADEMA viongozi wake ndiyo wanaoendesha Serikali yenye wajibu wa kulinda uhai wa watanzania?Mpaka leo najiuliza CHADEMA tumeshindwa nini kuwataja wauaji na waliosababisha maandamano haram
Wapo waliohakikisha nchi ipo salama na hao vijana wakirudia watapigika tena na tena!Hakuna mtu anayehoji walichokipata walistahili au lah! Nani ALIYEWAUA?