sisi tuliyosoma pychologia tunaweza kukuambia kuwa hawakustahili kuuliwa vile.mfano :siku moja nilienda pale hospitali ya milembe nikakutana na mgonjwa pale.kesi yake ilikuwa kwamba alimuua mke wake kwa kumpiga shoka shingoni.tukamuuliza kwa nini alifanya vile ? akasema nilikuwa namfundisha adabu 🙂 🙂 😳😳😳.ebu jiulize ,mtu mwenye akili timamu anaweza kumfundisha adabu mtu kwa kumkata shingo na shoka?
ebu tuvae ubinadamu kidogo: tujiulize hivi ,ni kitu gani kiliwafanya vijana( wawe wamenunuliwa wa hapana, maana anaweza kuwa mwanao yuko shule ,kazini mbali na wewe mzazi ) wale wafanye zile fujo siku ile ya uchaguzi? tuanzie hapa .na tutapata majibu ya kuliponya taifa letu kabisa na kujenga taifa letu kwa pamoja na kwa umoja.
tuchulie kamba yale yaliyotokea M29 yalitokea KENYA ,sasa tujiulize why fujo zile zitokee siku ya uchaguzi na si vinginevo.vijana wale walikuwa provoked kufanya vile au kukubari kununulika vile .tunakuja kupata who provoked them ,na tunakuja kupata nani aliwanunua au kuwashawishi kufanya vile,.hapa tunapata watu wawili.the one who provoked them na Aliyewalagai .the one who provoked them and the one aliyewalagai wakae sasa chini waridhiane kwamba sitawaprovoke tena na sitawalagai tena