CCM inaweza kutuambia nani aliwaua waliouawa Oktoba 29?

Learned lawyer...😃😀😄

Sisi mabush loya huwa tunadhani kesi iliyoko mahakamani hairuhusiwi kujadiliwa na pande zile tu zilizoko kwenye mgogoro mahakamani... Kumbe hata wasiohusika pia?

Hivi Kangaroo courts ni nini?
Kesi iliyopo mahakamani hairuhusiwi kujadiliwa na wote in a way itaweza ku influence maamuzi ya majaji.

A kangaroo courts ni zile mamlaka za nidhamu na udhibiti zinazooa hukumu bila mshtakiwa kupewa haki ya kusikilizwa.
P
 
Moja ya mawaziri wa hovyo sana awamu hii ni huyu takataka, hapa Samia alibugi big time kumuondoa Simbachawene na kumuweka huyu zwazwa.
 
Vijana wale hawakuwa wanaamdamana, bali walikuwa wanafanya fujo na vurugu ili nchi iingie kwenye machafuko. Walichokipata walistahili!
Uwezo wako wa kuchakata mambo na kuyaelewa ni mdogo sana sana.
Hapa imeulizwa ni wakina nani waliowapa hao vijana,wamama na watoto walichokitaka/walichostahili?!??

Pole kwa kuzaliwa kwenye familia masikini iloyopelekea kukosa lishe bora na kufanya wewe kupata udumavu wa mwili na akili.
CCM ni wabaya sana kwa kukusababishia hivyo ulivyo.
 
Watu wasiishi kwa amani kisa wapumbavu wachache kisa siasa , kama hautaki uchaguzi kafanye kazi io kuharibu mali za watu ...Mkome na bado , mkiletea watu fujo mtajuta .
 
Mpaka leo najiuliza CHADEMA tumeshindwa nini kuwataja wauaji na waliosababisha maandamano haram
Chadema walishasema kuwa walioua watu ni polisi hili liko wazi hata wewe unajua kuwa walioua ni polisi hadi askari polisi trafiki walipewa bunduki za kivita kusaka watu mitaani .
 
Pasco uko vizuri kwenye somo la.kujitoa ufahamu.
 
Watu wasiishi kwa amani kisa wapumbavu wachache kisa siasa , kama hautaki uchaguzi kafanye kazi io kuharibu mali za watu ...Mkome na bado , mkiletea watu fujo mtajuta .
Wewe binafsi unawajua walioua watu Oktoba 29?
 
We ulikuwa wapi hiyo tar 29, waliuawa na askari, ulitegemea wachekewe wakati wanachoma, kuharibu na kuiba mali za umma na binafsi? Wengine walikuwa wanabaka wanawake, chadema acheni siasa za ******* tafuteni hoja za maana. Waliohamasisha, waliopanga, kuratibu na kufadhili ndiyo wanatakiwa wapatikane ili wajibu mashtaka, serikali ilitimiza wajibu wake wa kurudisha hali ya amani na utulivu na inahitaji pongezi kubwa siyo hizi porojo zako. Sahivi kuna maeneo hayana mahakama, vituo vya polisi, ofisi za kata na kijiji bado huoni hata aibu kuleta uzi wa kipuuzi km huu? Tumia akili bwanamdogo badala ya makalio km haya
 
Watu km wewe ndiyo wameharibu huu mtandao wa JF unaleta siasa zako za kishamba za chadema humu
 
We ulikuwa wapi hiyo tar 29, waliuawa na askari...
Afadhali wewe kumbe unajua. Nani Sasa aliwatuma hao Askari kuua watanzania wenzetu waliokuwa wanaandamana?

Maana jeshi huwa alikurupuki kutenda jambo bila ya Amri maalum. Kama polisi ndiyo walioua, unadhani IGP ndiye aliyeagiza polisi waue waandamanaji?
 
Waliouwawa ni wachoma miundombinu pekee?
 
Sawa lakini nani aliyeuwa watu kwa sentensi moja?
Kwenye uchunguzi unaofanyika hakuna phrase inayoingiza hilo swala,yanachunguzwa mengine kama wafadhili, waliofanya lakini kwa aliyeuwa ndiyo wanachora mstari
 
Na hapa swali siyo miundombinu iliharibiwa ama lah. Swali hapa ni nani aliua waandamanaji?
Kichaka cha miundombinu kikichomwa pa kujificha patakosekana na huenda swali lako likajadilika.

Choma hicho kichaka kwa kuuliza kuna ambao hawakuwa wakiharibu miundombinu na wakauwawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…