Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #61
Tena hiyo miundombinu yenyewe hesabu ya idadi yake nadhani inazidishwa!!Kichaka cha miundombinu kikichomwa pa kujificha patakosekana na huenda swali lako likajadilika.
Choma hicho kichaka kwa kuuliza kuna ambao hawakuwa wakiharibu miundombinu na wakauwawa?
Bado hakuna aliyewajibishwa. Ngoja tusubiri.Tena hiyo miundombinu yenyewe hesabu ya idadi yake nadhani inazidishwa!!
Kwani mbona unajifanya una huruma sana , hata ndugu zako huwataki ila unaleta unafiki wa kujifanya una huruma kwa mlengo wa kisiasa. Unawajua waliowaua polisi ? Ulifikiria mkishambulia mtaachwa?Wewe binafsi unawajua walioua watu Oktoba 29?
mahakama ndiyo inaweza kutoa jibu ila siyo mwanasiasaViongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025.
Viongozi hao wa CCM husema vijana hao walivutishwa bangi na kupewa hela ili waandamane.
Na kwenye mikutano yao hiyo huelezea kwa kina jinsi vijana hao walivyochoma majengo, vituo vya mafuta na magari.
Lakini mpaka sasa sijaona hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema hadharani ni nani hasa aliyewaua wale vijana waliokuwa wanaandamana.
Ina maana viongozi wa CCM wanajua kulikuwa na maandamano na uharibifu wa mali ila hawajui kama kuna watu waliuawa na ni kina nani waliowaua watu hao?
mimi ukiniuliza nitakutajibu kirahisi sana maana iko wazi.lakini shida inakuja kwa nini waliuliwa na je hakukuwa na njia nyingine yakuwazuia wale wandamanaji haramu?kwa mfano : hukumu ya mwizi ni kifo? hukumu ya mtu anayefanya fujo ni kifo? hukumu ya anayefanya mandamano bila kibari ni kifo? hukumu ya jambazi lazima iwe kifo?Unafuatilia kweli mambo ya siasa za nchi hii? CHADEMA viongozi wake ndiyo wanaoendesha Serikali yenye wajibu wa kulinda uhai wa watanzania?
Bado haujajibu nani aliwaua na nani aliamuru wauawe, polisi wana mafunzo na vifaa vya kuzuia ghasia lakini havikutumika. Lengo lilikuwa ni kuua na si kuzuia ghasia sasa hata kama unaamini kuzuia ghasia pekee hakukustahili bali Watanganyika walistahili kuuawa swali linabaki palepale watu wanataka kuwafahamu hao wauaji na aliyewaamuru waue, this will help in the future in case the table turns.Vijana wale hawakuwa wanaamdamana, bali walikuwa wanafanya fujo na vurugu ili nchi iingie kwenye machafuko. Walichokipata walistahili!
Vyombo vya dola ambavhoUwezo wako wa kuchakata mambo na kuyaelewa ni mdogo sana sana.
Hapa imeulizwa ni wakina nani waliowapa hao vijana,wamama na watoto walichokitaka/walichostahili?!??
Pole kwa kuzaliwa kwenye familia masikini iloyopelekea kukosa lishe bora na kufanya wewe kupata udumavu wa mwili na akili.
CCM ni wabaya sana kwa kukusababishia hivyo ulivyo.
Nimeishajibu. Kama wewe hujapata jibu sio tatizo langu. Ila ujue tu, nchi hii italindwa kwa gharama yoyote ile dhidi ya watu wasio itakia mema na amani, hata kwa kutoa uhai wa watu hao waovu! Ushanfahamu?Bado haujajibu nani aliwaua na nani aliamuru wauawe, polisi wana mafunzo na vifaa vya kuzuia ghasia lakini havikutumika. Lengo lilikuwa ni kuua na si kuzuia ghasia sasa hata kama unaamini kuzuia ghasia pekee hakukustahili bali Watanganyika walistahili kuuawa swali linabaki palepale watu wanataka kuwafahamu hao wauaji na aliyewaamuru waue, this will help in the in case the table turns.
Maswali rahisi sana na straightforward.
sisi tuliyosoma pychologia tunaweza kukuambia kuwa hawakustahili kuuliwa vile.mfano :siku moja nilienda pale hospitali ya milembe nikakutana na mgonjwa pale.kesi yake ilikuwa kwamba alimuua mke wake kwa kumpiga shoka shingoni.tukamuuliza kwa nini alifanya vile ? akasema nilikuwa namfundisha adabu π π π³π³π³.ebu jiulize ,mtu mwenye akili timamu anaweza kumfundisha adabu mtu kwa kumkata shingo na shoka?Vijana wale hawakuwa wanaamdamana, bali walikuwa wanafanya fujo na vurugu ili nchi iingie kwenye machafuko. Walichokipata walistahili!
You're still beating around the bush, nataka unyooshe maelezo. What's so difficult about giving a straight answer when answering a straight question?Vyombo vya dola ambavho
Nimeishajibu. Kama wewe hujapata jibu sio tatizo langu. Ila ujue tu, nchi hii italindwa kwa gharama yoyote ile dhidi ya watu wasio itakia mema na amani, hata kwa kutoa uhai wa watu hao waovu! Ushanfahamu?
Ahsante,kwani sisi CHADEMA atujaweka ajenda ya Katiba Mpya kwenye ilani yetu?Au hata wajibu wa chama cha siasa kwenye kuendesha Serikali huujui?
CCM wanaposema mambo ya Katiba yamo kwenye Ilani Yao huwa wanamaanisha nini?
Watu wasiolitakia mema Taifa ni MaCCM kama wewe wenye udumavu wa akiliVyombo vya dola ambavho
Nimeishajibu. Kama wewe hujapata jibu sio tatizo langu. Ila ujue tu, nchi hii italindwa kwa gharama yoyote ile dhidi ya watu wasio itakia mema na amani, hata kwa kutoa uhai wa watu hao waovu! Ushanfahamu?
Sawa kamanda..kusema ni polisi tu bila ata kutaja majina sioni kama inatusaidia kwakweliChadema walishasema kuwa walioua watu ni polisi hili liko wazi hata wewe unajua kuwa walioua ni polisi hadi askari polisi trafiki walipewa bunduki za kivita kusaka watu mitaani .
Ndugu huyo uliyemjibu ana udumavu wa akili uliotokana na kuzaliwa katila umasikini uliotopea, hivyo yeye kila anayemhakikishia kesho kupata chochote cha kujaza tumbo, yupo tayari kuua kwa ajili yake kulinda mkate wake, hence kukosa ubinadamu.sisi tuliyosoma pychologia tunaweza kukuambia kuwa hawakustahili kuuliwa vile.mfano :siku moja nilienda pale hospitali ya milembe nikakutana na mgonjwa pale.kesi yake ilikuwa kwamba alimuua mke wake kwa kumpiga shoka shingoni.tukamuuliza kwa nini alifanya vile ? akasema nilikuwa namfundisha adabu π π π³π³π³.ebu jiulize ,mtu mwenye akili timamu anaweza kumfundisha adabu mtu kwa kumkata shingo na shoka?
ebu tuvae ubinadamu kidogo: tujiulize hivi ,ni kitu gani kiliwafanya vijana( wawe wamenunuliwa wa hapana, maana anaweza kuwa mwanao yuko shule ,kazini mbali na wewe mzazi ) wale wafanye zile fujo siku ile ya uchaguzi? tuanzie hapa .na tutapata majibu ya kuliponya taifa letu kabisa na kujenga taifa letu kwa pamoja na kwa umoja.
tuchulie kamba yale yaliyotokea M29 yalitokea KENYA ,sasa tujiulize why fujo zile zitokee siku ya uchaguzi na si vinginevo.vijana wale walikuwa provoked kufanya vile au kukubari kununulika vile .tunakuja kupata who provoked them ,na tunakuja kupata nani aliwanunua au kuwashawishi kufanya vile,.hapa tunapata watu wawili.the one who provoked them na Aliyewalagai .the one who provoked them and the one aliyewalagai wakae sasa chini waridhiane kwamba sitawaprovoke tena na sitawalagai tena
Tapeli na majibu yako ya kitapeli .... Ulijificha wapi siku hiyo ?Vyombo vya dola ambavho
Nimeishajibu. Kama wewe hujapata jibu sio tatizo langu. Ila ujue tu, nchi hii italindwa kwa gharama yoyote ile dhidi ya watu wasio itakia mema na amani, hata kwa kutoa uhai wa watu hao waovu! Ushanfahamu?
Kama uelewa wako ni mdogo ni kosa langu?You're still beating around the bush, nataka unyooshe maelezo. What's so difficult about giving a straight answer when answering a straight question?
-Let me rephrase the question;
Je Samia ni serial killer aliyepanga, aliyeamuru na aliyelazimisha Watanganyika vijana, watoto, wamama wajawazito na wazee wauawe kuanzia barabarani kwenye ghasia, vibarazani, kwenye vibanda vya video na mpaka ndani majumbani ndani watu wakijumpisha?
Ndiyo yeye Samia muuaji namba moja regardless the reasons to justify those human mass atrocities/massacre?
Wadumavu wa akili wanaongoza nchi tangu 1961. Piga picha wale wasioongoza akili zao zikoje! Ahahahahaha!!Watu wasiolitakia mema Taifa ni MaCCM kama wewe wenye udumavu wa akili
Zamu yako itafika tu, karma haijawahi kushimdwa.