Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Nilitii Sheria bila shuruti. Niliambiwa kama sina umuhimu wa kutoka nje nikae ndani nami nilifanya hivyo baada ya kuwa nimetimiza haki yangu ya kupiga kura.Tapeli na majibu yako ya kitapeli .... Ulijificha wapi siku hiyo ?
Na wewe tuambie ni nani aliyechoma Mali za watu na miundombinu ya mwendokasi?Afadhali wewe umesema "...watoto wa watu wakafa" Sasa tuambie ni nani aliwaua?
We jamaa huwa unatoa vituko aidha kwa kutokujua au una tabia hiyo damuni.Msemaji wa serikali atawajuaje wauaji kama hata serikali yenyewe haiwajui?, ndio maana imeunda tume!, subirieni taarifa ya tume, mtawajua, mbona mna haraka na kuweweseka hivi?.
P
Hakuna cha uelewa mdogo, unaogopa tu kunyoosha maelezo ya kuwa Samia ni serial killer, ameua maelfu ya Watanganyika in a span of three days regardless justifications mtakazokuja nazo. Simple and plain.Kama uelewa wako ni mdogo ni kosa langu?
Hakuna Maridhiano mpaka waliohusika kuua ndugu zetu oct 29 na waliohusika kuwateka na kuwaua kina Polepole,soka,kibao,mdude na wenzao wote wanakamatwa na kushitakiwa kwa mujibu wa sheria.Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025.
Viongozi hao wa CCM husema vijana hao walivutishwa bangi na kupewa hela ili waandamane.
Na kwenye mikutano yao hiyo huelezea kwa kina jinsi vijana hao walivyochoma majengo, vituo vya mafuta na magari.
Lakini mpaka sasa sijaona hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema hadharani ni nani hasa aliyewaua wale vijana waliokuwa wanaandamana.
Ina maana viongozi wa CCM wanajua kulikuwa na maandamano na uharibifu wa mali ila hawajui kama kuna watu waliuawa na ni kina nani waliowaua watu hao?
Wezi nyie mshazoea kuiba chaguzi na rasilimali hamwezi kukubali mabadiliko hadi mlazimishwe.Vyombo vya dola ambavho
Nimeishajibu. Kama wewe hujapata jibu sio tatizo langu. Ila ujue tu, nchi hii italindwa kwa gharama yoyote ile dhidi ya watu wasio itakia mema na amani, hata kwa kutoa uhai wa watu hao waovu! Ushanfahamu?
Mkuu, Moise, Moisemusajiografii , mimi ni miongoni mwa members humu ambao tumeandika sana kuhusu hili jambo.We jamaa huwa unatoa vituko aidha kwa kutokujua au una tabia hiyo damuni.
Sasa,kama walionwa hadi wanavyoandamana,ilikuwaje wauaji wasionwe?Au uonaji uliishia kwa waandamanaji tu?Au wauaji hawakuonekana kwa sababu walikuwa katika hali ya upepo walivuma na kupotea?
Nchi Kuna mbwa wa kulazimisha mabadiliko? Na kama wapo mbona hawajayafanya? Au mnasubiri wengine ndio wafanye mabadiliko?Wezi nyie mshazoea kuiba chaguzi na rasilimali hamwezi kukubali mabadiliko hadi mlazimishwe.
Yule mwingine aliita watu nguchiro wewe unaita watu mbwa... Watu wa fani ya saikolojia husema hii ni ishara ya mwanzo wa mwisho.Nchi Kuna mbwa wa kulazimisha mabadiliko? Na kama wapo mbona hawajayafanya? Au mnasubiri wengine ndio wafanye mabadiliko?
Kuanzia 2031 majibu yataanza kupatikana,wewe tunza afya yako kwa kuwa yajayo yanafurahishaWewe binafsi unawajua walioua watu Oktoba 29?
Na sio mbwa tu. Nyumbu!!!Yule mwingine aliita watu nguchiro wewe unaita watu mbwa... Watu wa fani ya saikolojia husema hii ni ishara ya mwanzo wa mwisho.
Sio mbwa tu. Nyumbu kabisa!Yule mwingine aliita watu nguchiro wewe unaita watu mbwa... Watu wa fani ya saikolojia husema hii ni ishara ya mwanzo wa mwisho.
Hakuna hata anayeliongelea hilo, huu unyama utalipwa siku moja.Lakini mpaka sasa sijaona hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema hadharani ni nani hasa aliyewaua wale vijana waliokuwa wanaandamana.
Ccm ni chama DolaNdugu yangu Aleni. Allen Kilewella , jifunze kutenganisha chama na serikali, CCM watajuaje nani aliteua nani kama hata serikali yenyewe haijui ndio maana imeunda tume kuchunguza.
Acheni kuionea CCM kwa makosa ya serikali, CCM ni chama na serikali ni dola, ni vitu viwili tofauti.
P
Japo ni kweli CCM ni chama dola, https://www.jamiiforums.com/threads...ala-dola-ccm-ni-chama-dola-ccm-ni-dola.36662/ kwasababu Mwenyekiti wa CCM, ndie Mkuu wa nchi, head of state, mkuu wa serikali, head of the government na CinC, Amiri jeshi mkuu, lakini maamuzi ya kichama, anayafanya kupitia vikao, ila maamuzi ya kiserikali, anayafanya yeye kama yeye, hivyo msifungamanishe maamuzi ya rais kama mkuu wa nchi na maamuzi ya rais kama mwenyekiti wa CCM ni vitu viwili tofauti.Ccm ni chama Dola
Nani kakuambia...?msifungamanishe maamuzi ya rais kama mkuu wa nchi na maamuzi ya rais kama mwenyekiti wa CCM ni vitu viwili tofauti.
Huu ndio uzuri wa jf na ndio faida kuu ya jf, wale waliobahatika kujua vitu fulani, wanawaelimisha na wengine wasiojua.Nani kakuambia...?