Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
Bashite anaitamani hiyo nafasi. Naona siku hizi kakaa kimya. Hivi yuko wapi jamani? Media zimemkimbia au yy kakimbia media? CCM kwa mbwembwe!!!!Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Hii nchi inakwenda shimoni liveTuombe Mungu
Huyo ndo alikua rais anaeiweza nchi hii.The guys analytical capacity was exceptional! Mzee alikuwa mwamba na akifuatilia jambo analidig from the core. He always has the first hand information about the situation kabla hajasikiliza porojo za wahusika. Straight away anatoa maelekezo wala hana haja ya kupoteza muda!
Inakwenda au kitambo ilidumbukia shimoni.Hii nchi inakwenda shimoni live
Akili za ki Mbowe Mbowe hiziTangia Uhuru tz haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli, ni mburundi pekee tu aweza tamani tz ije ipate rais wa sampuli ya dikiteta mwendakuzimu.
Ni fahari kubwa sana akili yangu kuirank na great thinker kama mbowe, sijui nikupe zawadi gani?Akili za ki Mbowe Mbowe hizi
Aisee mi sihitaji hata zawadi kama umewaza kuwa Mbowe ni great thinker mzani wako tu wa IQ ni zawadi tosha kwangu! 😂😂😂Ni fahari kubwa sana akili yangu kuirank na great thinker kama mbowe, sijui nikupe zawadi gani?
Karibu sana.Aisee mi sihitaji hata zawadi kama umewaza kuwa Mbowe ni great thinker mzani wako tu wa IQ ni zawadi tosha kwangu! 😂😂😂
Kikwete alikuwa na maajabu yake, Magufuli akaja na yake! Tunasubiria ya mama kwa sasa kaa kwa kutulia😂Hatujawahi kupata raisi wa ajabu Kama Jiwe
Ficha upumbavu wako. Umemisi mautekaji?Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Si mpekeke maoni yenu na nyie mataga? Kwani mmekatazwa?kila mtu anajua katiba mpya ina umuhimu, sasa katiba sio kwa ajili ya nyie kuingia madarakani ila ya WANANCHI , sio kwa maneno yenu!
Una uhakika gani kuwa huwa anadig kweli? Una uhakika gani findings zake ni za kweli? Una uhakika gani na hiyo direct to the point?The guys analytical capacity was exceptional! Mzee alikuwa mwamba na akifuatilia jambo analidig from the core. He always has the first hand information about the situation kabla hajasikiliza porojo za wahusika. Straight away anatoa maelekezo wala hana haja ya kupoteza muda!
Wewe hujui shetani akija chadema hugeuka malaika?
Propaganda za wahuni chademaMaono gani? ......
-kukifanya Kijiji cha Chato kuwa jiji?
-kupiga watu risasi?
-kuteka watu?
-kupora fedha za watu?
-kupendelea watu wa kanda yake?
Hao mliowanunua na kuwafanya Mawaziri si Siasa hiyohiyo lengo ili kuwa ni kiua Chadema sio na sisi lengo lilikua kuichinja CCM.sasa mnafanya nn kwenye siasa kama mnaowapinga ndo mnawahitaji? IQ ya wapi hio?
Sisi tunaamini tulishinda Uchaguzi Mkuu ila kwasababu Tume ya Uchaguzi sio HURU inamilikiwa na CCM wakaiba kama kawaida yao.Lowasa mwenyewe akawa mole ndani ya cdm
Serikali haijawahi kugaragazwa enzi za Magu wewe kuwa makini!Una uhakika gani kuwa huwa anadig kweli? Una uhakika gani findings zake ni za kweli? Una uhakika gani na hiyo direct to the point?
Kama aliweza kusema alikuta sukari kilo ni tsh 5000, Saddam Hussein ni rais wa Kuwait, aliwahi kuokota vichwa vya treni bandarini, siku ina masaa 36, Atcl inajiendesha kwa faida, je mambo ya sirini si ndio tulipigwa kabisa huku wapumbavu kama nyie mkiona ni kweli? Ona haya makesi dhidi ya government watu wanavyoigaragaza serikali. Upuuzi mtupu