CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

Tutachelewa sana, yule alikua ni kiongozi tofauti sana
 
Reactions: nao
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Nadhani Samia ana uthubutu amesema tumpe muda!
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Uthubutu gani?
 
Probably yes! lakini sio kwa level ya Magufuli, he still remains unexceptional especially kwenye issue ya DIRA, will have to wait and see! RIP JEMBE MAGUFULI
Kalale nae chato usitipigie kelele hapa na huyo tapeli wenu wa maneno
 
Serikali haijawahi kugaragazwa enzi za Magu wewe kuwa makini!
Enzi za magu ulikuwa ukipanda mahindi unavuna mchele. Sasa kama dunia inajua Sadam ni wa Iraq ila jiwe anakuambia ni wa quwait na unatoka hapo unashangilia kama zuzu huoni ni kupanda mahindi na kuvuna mchele?
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Wapo wengi tuu, sema kupenya ndo mziki!
 
CCM ina hazina ya viongozi wa aina na kaliba zote
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Wapo wengi tu ccm,watu kama mkuu wa mkoa wa Dodoma,Antony Mataka.
Wapo mawaziri wazuri kama Lukuvi.
Mataka anaweza kuwa waziri mkuu,au waziri wa Tamisemi,
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
umemis kuisikia mait zimeokotwa au
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Magufuli hakuwa na uthubutu bali ujinga na ugonjwa wa akili. Mtu akikanyaga moto watu watamuona ni shujaa mwenye uthubutu,lakini watu wakigundua kuwa mkanyaga moto alikuwa ni kichaa wanaona ni kawaida maana ni kichaa
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Inaweza mkuu, lakini sio kujenga mfumo imara.
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Mfuate, mwenzako Mfugale tayari yupo nae huko.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Inaweza kutupatia MUUAJI mkubwa kuwahi kutokea
 
Probably yes! lakini sio kwa level ya Magufuli, he still remains unexceptional especially kwenye issue ya DIRA, will have to wait and see! RIP JEMBE MAGUFULI
JITU KATILI, JITU LIUAJI, NUNDA MLA WATU.

JITUKATILI LA ROHO ZA WATU
 
Shida kweli kweli

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…