Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani.
pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika uchaguzi wa ndani.
Kwa sasa viongozi wengi na wanachama wengi sana wa CHADEMA wamejiegesha tu na kusubiria muda huo ufike ili wachukue Maamuzi ya kubadili Gia angani na kuingia ndani ya CCM chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.
Sababu kubwa ni kuridhishwa na utendaji kazi na uchapakazi wa kuridhisha na uliokidhi matarajio ya watanzania.hawaoni sababu ya kuendelea kumpinga Rais Samia wakati wanajionea namna anavyotekeleza na kugusa kila kitu ambacho watanzania wangetamani kifanyike na kufanyiwa kazi.
Hivyo wanaona ni bora wakaungana naye tu ili kulijenga Taifa letu.badala ya kuendelea kushindana kwa mambo yasiyo na Msingi.Lakini pia wameona namna Rais Samia alivyofanyia kazi na anavyoendelea kufayia kazi yake yote ambayo walikuwa wakiyapigania kwa miaka Mingi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.