Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

Bora akapotelee huko.....mwezi tu watakua washamroga na tumemsahau
 
Wampe tu tena ile nafas ya alietumwa kutibiwa india
 
Hapana Mimi naamini Bashite kwenye chama atafanya vizuri sana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Mimi so shabiki wa Bashite lakini kwenye siasa nsmpa big up. Siyo yule polepole hata haeleweki anaongea nini

Sent using Jamii Forums mobile app



Ataweza mipisho lakini katika kutekeleza Ikitikadi ya Chama hawezi yule! Mfano unapomtazama Mtu Philip Mangula, Kinana, Seif Khatib, Magufuli, na wengine unapata picha gani akili mwako? Chama kinahitaji watu makini. TAKE CARE
 
 

Ungekuwa Verified User ningeamini kuwa wewe ndiwe, vinginevyo nasita kuyaamini hata uyasemayo.
 
Ni zuzu pekee ndiye anaweza kuamini kuwa habari hii ni ya kweli! Uongozi wa chama una taratibu na nafasi ya mwenyekiti hupatikana kwa kuchaguliwa na wanachama na si kuwekwa hivyo ni lazima apitie mchakato wa kuomba na kuchaguliwa...
Hivyo hii habari ni ya uongo na kamwe haiwezi kuwa ya kweli....
 
Huyo ndo atavuruga kabisa siasa za nchi hii!
 
Asije akateka pale Uhuru na Mzalendo, kuweni makini

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Mchezo usuohitaji hata chembe ya Asira..
Time will speak out it self
 
kama naona vile kina nape ,makamba, msukuma nk wanapigiana sm mda huu bwana eeh ingia whatsapp kuna link nimeshare kutoka Jf tusiyempenda anakuja


mwafwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…