Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

Hivi bashite alishakata mkono wa sweta mbona hizi akili na maamuzi yake ni kama vile hajawahi pata maumivu ya kupunguzwa sehem ya mwili wake?
Yaani JF hata kama ulikuw na msongo wa mawazo utacheka tu dah jamani watu munajuwa kuibuwa mambo
 
Kwani chamani anatakiwa mtu mwenye qualifications gani za kielimu?

Kwenye siasa mtu yeyote asie na aibu anaweza fit.

Mtu yeyote ambae leo anasema hivi na kesho bila aibu anasema kinyume na anahitaji kuaminiwa na kupigiwa makofi.
 


Hahahahaa.! Nimeipenda hii, eti "mwanaccm mfu"
 
Akiletwa kwenye Chama hatoweza kufanya Vizuri kwa sababu kule sio sehemu ya lelemama na kutafuta kiki! Chama kinahitaji watu makini sio wenye akili za Makinikia!

Chaman panamfaa sana akibomoe kibaki vipande vipande
 
Ni mimi Prof MAHANJU, ni mwanaccm mfu, bado sijabanduka ndani ya chama letu lakini nacheza pande zote huku na kule.
Professor hapa ndo umenivunja mbavu,, eti unacheza "pande zote huku na kule". Unamaanisha Shite anataka kupewa Katibu Mkuu wa chama lenu? Mtanyooka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…