Uchaguzi 2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

Ujue ccm wana maono ya mbali sana yaani hao wanafunzi baada ya moaka mitano watakuwa wapiga kura wengine wanawajenga kifikra vichwani mwao

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.

Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.

Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?

Hizi t shirt huwa wanapewa jumla au huwa zinakusanywa baada ya mkutano.
 
Attachments

  • Screenshot_20200930_100227.jpg
    Screenshot_20200930_100227.jpg
    54.6 KB · Views: 1
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.

Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.

Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?

Wapiga kura wa kesho, wapate uzoefu wa mikutano.
 
Tukiwakuta kwenye foleni tutawacharaza viboko. Mtoto wa darasa la saba anawezaje kuwa na miaka 18 ?
Si lazima uwakute kwenye foleni, ila kura yao imeshaonekana dhahiri inaenda wapi
 
Buku tano tano za kuwalipa watu ili wajae mkutanoni zimeisha sasa wanabuku buku za kuwajaza watoto mikutanoni
 
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.

Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.

Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?

Hao ni UVCCM wanaitwa vijana wa hamasa ambao kimsingi lazma wawe chini ya umri ya miaka 25 na pia ukumbuke CCM ina watu wakila aina wanaosoma na wasosoma kuanzia msngi mpaka chuo hivo hao ni wana ccm wako kwenye jambo lao
Na wengi ni zaidi ya 18 na watapga kura
 
Spana inazidi kubana, mwishowe magereza yote yanaweza kufungwa na wafungwa wote kusombwa kujaza hii mikutano. Kama na wao hawatatosha wagonjwa, wauguzi na madaktari nao wote wanaweza kubebwa wakahudhurie kuongeza vichwa. Si ajabu siku hiyo hata hospitali zikafungwa.
Mnacho sahau kua ccm ina wanachama mpaka shule ya msingi
 
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.

Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.

Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?

Jana mabasi ya Rahaleo yalisomba watu toka Tanga kwenda Korogwe! johnthebaptist hivi why are you doing that? Kumbe "Nyomi" ni muhimu kwenye haya makampeni? Thank God kuwa hamtakuwa nao pembeni wakati wakiwa ndani ya Kurabox!
 
Siyo Korogwe tu Tanzania nzima meko na CCM yake wamekataliwa ni janja janja tu ya kukusanya vitoto kujaza mikutano yake
 
Jana mabasi ya Rahaleo yalisomba watu toka Tanga kwenda Korogwe! johnthebaptist hivi why are you doing that? Kumbe "Nyomi" ni muhimu kwenye haya makampeni? Thank God kuwa hamtakuwa nao pembeni wakati wakiwa ndani ya Kurabox!
Hayo ni mahaba sawa na Sheikh ponda kutembea na lisu kila kona wakat ole sosop yupo katulia so wana kua na mahaba na mwenyekiti wao ndo mana wana mfata
Pia uchumi una waruhusu
 
Mahaba kwa wanafunzi! Kenge mmoja.
 
wanamakada wanaitwa CHIPUKIZI na hapo ndipo Vyama vya upinzani mara nyingi wanapigwa chini, kwa sababu wanawataka wanachama wenye sifa za kupiga kura sasa na sio kesho
 
Back
Top Bottom