Bila wanafunzi na malori ccm hawana watu kabisa.Wanatoa support kwa aliyeleta elimu bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila wanafunzi na malori ccm hawana watu kabisa.Wanatoa support kwa aliyeleta elimu bure
Watoto wa chekechea wamejaa mkutanoni.Sio Korogwe tu, ni kasumba yao kila sehemu... wamekuwa wakitumia mamlaka kuongeza vichwa kutoka mashuleni.
View attachment 1606890
View attachment 1606891
View attachment 1606892
wanamakada wanaitwa CHIPUKIZI na hapo ndipo Vyama vya upinzani mara nyingi wanapigwa chini, kwa sababu wanawataka wanachama wenye sifa za kupiga kura sasa na sio kesho
Hakuna cha aibu, hao walikwenda kama ulivyoeenda wewe.CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Kwani CAGCCM Hayupo? Ukimwacha yule Asad mwadilifu? Ambaye hakuwahi kuona ujinga huu unaokaza mkund***** kuuandika hapa?Ajaze wanafunzi, asijaze kushinda kupo palepale. Chama cha Mbowe, hakiwezi shinda milele. Wanapoteza rasilimali muda. Nani achague majizi na mawakala wa mashoga. Imekula kwenu, na marienge wenu.Kama ruzuku tu mwala, je kodi zetu zitakuwa salama kweli?. View attachment 1606807View attachment 1606808View attachment 1606809View attachment 1606810
John Pombe Joseph Maguli ni rais wa karne. Nchi nyingi zinamtamani na wanyonyaji kina amstadam wanahaha. Sasaivi dunia inatekeleza maono yake. Tanzania tumebarikiwa sanaaaaaaCCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar, Duniani na Mbinguni.
Gharama za uendeshaji wa chama unazijua?Ajaze wanafunzi, asijaze kushinda kupo palepale. Chama cha Mbowe, hakiwezi shinda milele. Wanapoteza rasilimali muda. Nani achague majizi na mawakala wa mashoga. Imekula kwenu, na marienge wenu.Kama ruzuku tu mwala, je kodi zetu zitakuwa salama kweli?. View attachment 1606807View attachment 1606808View attachment 1606809View attachment 1606810
Cha kushangaza Vyama vya upinzani havitakiwi kufanya siasa mashuleni/ vyuoni. Wakifanya hivyo utasikia mtu anabuka na hoja wanafunzi someni msidanganywe na wanasiasa.wanamakada wanaitwa CHIPUKIZI na hapo ndipo Vyama vya upinzani mara nyingi wanapigwa chini, kwa sababu wanawataka wanachama wenye sifa za kupiga kura sasa na sio kesho
Yaani wewe ni mjinga SanaAjaze wanafunzi, asijaze kushinda kupo palepale. Chama cha Mbowe, hakiwezi shinda milele. Wanapoteza rasilimali muda. Nani achague majizi na mawakala wa mashoga. Imekula kwenu, na marienge wenu.Kama ruzuku tu mwala, je kodi zetu zitakuwa salama kweli?. View attachment 1606807View attachment 1606808View attachment 1606809View attachment 1606810
Upumbavu, ujinga, wogan na elimu duni ndio tatizk la TanzaniaJohn Pombe Joseph Maguli ni rais wa karne. Nchi nyingi zinamtamani na wanyonyaji kina amstadam wanahaha. Sasaivi dunia inatekeleza maono yake. Tanzania tumebarikiwa sanaaaaaa
Tarehe 28 mapema tunachukua tunaweka waaa!!!!! Baada ya hapo kazi inaendelea
View attachment 1606901
😍😍😍😍😍
Kwa kutumia pesa ya WatanzaniaWanatoa support kwa aliyeleta elimu bure
Halafu angalia facial expressions zao!!!!Watoto wa chekechea wamejaa mkutanoni.
Umeandika nini sasa😂😂😂Upumbavu, ujinga, wogan na elimu duni ndio tatizk la Tanzania
Ccm imekufaaaaa......yaani wanamhadaa mgombea wao??Sio Korogwe tu, ni kasumba yao kila sehemu... wamekuwa wakitumia mamlaka kuongeza vichwa kutoka mashuleni.
View attachment 1606890
View attachment 1606891
View attachment 1606892
Full depressed and paranoicHalafu angalia facial expressions zao!!!!
Mamaaaeè hiyo ni nyoko. Magufuli hali sio nzuri kivile.wanamakada wanaitwa CHIPUKIZI na hapo ndipo Vyama vya upinzani mara nyingi wanapigwa chini, kwa sababu wanawataka wanachama wenye sifa za kupiga kura sasa na sio kesho