Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Wangeenda kuwaleta hata wale wanaowakamata kutoka Ethiopia wanao kimbia "uchumi wa kati" kwenda kufanya vibarua Malawi na Botswana.Spana inazidi kubana, mwishowe magereza yote yanaweza kufungwa na wafungwa wote kusombwa kujaza hii mikutano. Kama na wao hawatatosha wagonjwa, wauguzi na madaktari nao wote wanaweza kubebwa wakahudhurie kuongeza vichwa. Si ajabu siku hiyo hata hospitali zikafungwa.
Maana Ethiopia ndio tunafanana "uchumi wa kubumba wa kati"