Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Hata Mgombea wa Handeni Vijijini CCM, anakukera pia ? Eng. John Sallu?Ukweli lazima.usemwe. Wagosi wananikera sana kuikumbatia CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mgombea wa Handeni Vijijini CCM, anakukera pia ? Eng. John Sallu?Ukweli lazima.usemwe. Wagosi wananikera sana kuikumbatia CCM.
Hata sasa wanaenda kwa shinikizo tu. Akina mama wakikosa chumvi au hela ya nauli ya mwanafunzi kwenda shule wanamlaumu Magufuli na hawa watoto wanasikia. Wanajenga chuki dhidi ya MagufuliHao wanafunzi hawataipenda ccm wakimaliza masomo na kukosa ajira njaa ikiingilia mlangoni penzi hutoroka dirishani
Kabisa,naichukia CCM kama ninavyomchukia ibilisi.Hata Mgombea wa Handeni Vijijini CCM, anakukera pia ? Eng. John Sallu?
Mngekuwa mmefanya kitu msingekata majina ya wagombea wa CDM na kukataa kuwaapisha mawaka nilikuwa CCM ila unafiki na uonevu sintopiga kura kwenu never everHapo ndio ujue mikakati ya ccm sio ya muda mfupi haifikirii uchaguzi huu maana imeshinda tayar kwa sasa hivi ni sherehe sio kampeni maana mgombea wetu karelax na anajua watanzania sio wajinga wameona yaliyofanyika,hao unaowasema wanafunzi ndio wapiga kura wa baadae.
Na hapo wengi wana kadi ya mpiga kura sasa wewe dhania wapiga kura ni wazee na akina mama ila vijana ni Chadema tu na wanafunzi iwe ni Ccm utashangaa 28oct mbona siku sio mbali tutaelewana tu mdogo mdogo utajua kuwa wale ni wananchi kama wewe.
Kwa sasa ccm haikubaliki popote na watanzania wenye maamuzi yao.CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Ila tunacho furahi sana mwaka huu ni kuona mkulungwa anajionea kabisa kuwa watanzania hawamuungi mkono.Mkuu lazima muheshimiwa aone umati kwamba ni wanafunzi au raia hatujui hilo tumewatoa wapi haiwahusu, wameacha masomo! ni sehemu ya elimu bure hawa inawahusu kwanza waalimu wanachoka sana tunataka wapumzike na tukiamua tutawaleta hata wafungwa waote jua [emoji23][emoji23]
in buku saba voice.
Hii vita ni kubwa sana walioletwa na waliokuja.
Kwani nyie mnakereka...Kama wanawachukua wanafunzi Kama mnavyosema nyie mnasumbuliwaje? Kama wanaokuja wamebebwa na malori nyie inawahusu...nyie shughulikieni ya kwenu..Spana inazidi kubana, mwishowe magereza yote yanaweza kufungwa na wafungwa wote kusombwa kujaza hii mikutano. Kama na wao hawatatosha wagonjwa, wauguzi na madaktari nao wote wanaweza kubebwa wakahudhurie kuongeza vichwa. Si ajabu siku hiyo hata hospitali zikafungwa.
Kabisa,naichukia CCM kama ninavyomchukia ibilisi.
18 ? kapige kura harafu watoto hawabadilishiki kilahisiCCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
majambaz ya ccm yanadai umri umepunguzwa ni 14yrsTukiwakuta kwenye foleni
Haiwezekani. Wamevishwa kofia na ma-Tshirt makubwa ndo maana macho hukuwaona vizuriIla leo pale himo na uwanja wa ushirika sijaona watoto sa sijui kimetokea nn hapo ngomeni.
Nauchukia mfumo,najua wanaccm wenye akili timamu wote watatupigia kura.Sasa Swali: Kama chama tunawezaje kupata madaraka kama upande ambao tunaweza kuongeza kura zetu tunauchukia kwa kiwango hicho?