Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Tunaongeza vichwaCCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Hizi t shirt huwa wanapewa jumla au huwa zinakusanywa baada ya mkutano.CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Si lazima uwakute kwenye foleni, ila kura yao imeshaonekana dhahiri inaenda wapiTukiwakuta kwenye foleni tutawacharaza viboko. Mtoto wa darasa la saba anawezaje kuwa na miaka 18 ?
Hao ni UVCCM wanaitwa vijana wa hamasa ambao kimsingi lazma wawe chini ya umri ya miaka 25 na pia ukumbuke CCM ina watu wakila aina wanaosoma na wasosoma kuanzia msngi mpaka chuo hivo hao ni wana ccm wako kwenye jambo laoCCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Mnacho sahau kua ccm ina wanachama mpaka shule ya msingiSpana inazidi kubana, mwishowe magereza yote yanaweza kufungwa na wafungwa wote kusombwa kujaza hii mikutano. Kama na wao hawatatosha wagonjwa, wauguzi na madaktari nao wote wanaweza kubebwa wakahudhurie kuongeza vichwa. Si ajabu siku hiyo hata hospitali zikafungwa.
umeshakuwa kichaa sasa kilichobakia ni kula kimba yakoAjaze wanafunzi, asijaze kushinda kupo palepale. Chama cha Mbowe, hakiwezi shinda milele. Wanapoteza rasilimali muda. Nani achague majizi na mawakala wa mashoga. Imekula kwenu, na marienge wenu.Kama ruzuku tu mwala, je kodi zetu zitakuwa salama kweli?. View attachment 1606807View attachment 1606808View attachment 1606809View attachment 1606810
Jana mabasi ya Rahaleo yalisomba watu toka Tanga kwenda Korogwe! johnthebaptist hivi why are you doing that? Kumbe "Nyomi" ni muhimu kwenye haya makampeni? Thank God kuwa hamtakuwa nao pembeni wakati wakiwa ndani ya Kurabox!CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Siyo Korogwe tu Tanzania nzima meko na CCM yake wamekataliwa ni janja janja tu ya kukusanya vitoto kujaza mikutano yakeCCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
Hayo ni mahaba sawa na Sheikh ponda kutembea na lisu kila kona wakat ole sosop yupo katulia so wana kua na mahaba na mwenyekiti wao ndo mana wana mfataJana mabasi ya Rahaleo yalisomba watu toka Tanga kwenda Korogwe! johnthebaptist hivi why are you doing that? Kumbe "Nyomi" ni muhimu kwenye haya makampeni? Thank God kuwa hamtakuwa nao pembeni wakati wakiwa ndani ya Kurabox!
Hata nyumbani ? bado unaponda, haaaaaa.Siyo Korogwe tu Tanzania nzima meko na CCM yake wamekataliwa ni janja janja tu ya kukusanya vitoto kujaza mikutano yake
Wapiga kura wa kesho, wapate uzoefu wa mikutano.
Mnacho sahau kua ccm ina wanachama mpaka shule ya msingi
Hayo ni mahaba sawa na Sheikh ponda kutembea na lisu kila kona wakat ole sosop yupo katulia so wana kua na mahaba na mwenyekiti wao ndo mana wana mfata
Pia uchumi una waruhusu
Una laana weweCCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?