Uchaguzi 2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

Wangeenda kuwaleta hata wale wanaowakamata kutoka Ethiopia wanao kimbia "uchumi wa kati" kwenda kufanya vibarua Malawi na Botswana.
Maana Ethiopia ndio tunafanana "uchumi wa kubumba wa kati"
 
Ndiyo akili za akina Polepole
 
Nafikiri serekali ilitumia jukwaa la kampeni kuwapa nafasi wanafunzi angalau na wao wakamuone Ally Kiba

#NI YEYE + PONDA 2020
 
wewe acha kupiga kelele.wewe nenda kajaze watu wazima.unaleta utoto sana mara ngap tunaona hatabkwa mgombea wetu TL anahaza watoto?? kwan shida ipo wap.tujikite kueleza sera.bado sana sisi wa Ufipa kusema sera tunekaa uanaharakat tuuu
Una umri gani?
Una elimu gani?
Umasikini na ujinga ni vitu vinavyoenda sambamba,na ni vipaji pia. Hongera kwa kuwa na vipaji viwili.
 
Samaki mkunje angali mbichi maana yangu CCM ni chama makini kinaandaa wanachama wake waangali wakiwa watoto sio nyie mnabebabeba tu makufi ambao hamuwajui kwa undani, kila siku mnaambiwa Usione vya elea vimeundwa.
 
Hawatumii akili, Mkutano ambao watu wote wana sare za CCM unafikirisha sana
 
Hapa Moshi Wanalazimisha Waalimu na Wanafunzi Saa Hii Eti Waende
 
Hizi ndizo kampeni za kwanza kuziona watu wanakaa kwenye viti kama wako kwenye Town Hall ........!!
 
Your browser is not able to display this video.
Rashid Gwajimaa
 
hamna akili nyie nendeni tu mkahangaike na shoga lenu lissu tuachieni hao watoto tunawasomesha bure wacha wasikilize baba anasema nini
 
Hao wanafunzi hawataipenda ccm wakimaliza masomo na kukosa ajira njaa ikiingilia mlangoni penzi hutoroka dirishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…