Uchaguzi 2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

Hao wanafunzi hawataipenda ccm wakimaliza masomo na kukosa ajira njaa ikiingilia mlangoni penzi hutoroka dirishani
Hata sasa wanaenda kwa shinikizo tu. Akina mama wakikosa chumvi au hela ya nauli ya mwanafunzi kwenda shule wanamlaumu Magufuli na hawa watoto wanasikia. Wanajenga chuki dhidi ya Magufuli
 
wamempatia bosi wao yeye si anataka kuona idadi ya "vichwa" vingi ili aseme "Kologwe mmefunika kwerikweri, na nnajisikia laha sana!"
 
Mngekuwa mmefanya kitu msingekata majina ya wagombea wa CDM na kukataa kuwaapisha mawaka nilikuwa CCM ila unafiki na uonevu sintopiga kura kwenu never ever

KIZURI CHA JIUZA
 
Kwa sasa ccm haikubaliki popote na watanzania wenye maamuzi yao.
Hivyo wanalazimisha wanafunzi ambao kimsingi hawana uamuzi mbele ya walimu wao.

Hakuna mtanzania huru anaweza kuacha shughuli zake za kumuingizia kipato akaenda kwenye mikutano ya ccm
 
Ila tunacho furahi sana mwaka huu ni kuona mkulungwa anajionea kabisa kuwa watanzania hawamuungi mkono.

Hilo tu linatupatia faraja sana
 
Mi nadhani kila mtu abake na chama chake ili tuendelee kuheshimiana.
muheshimiwa jana kasema muache tabia zenu mbaya za kukopi na kupest, akiwa anamaanisha kuphotoshop picha ili muonekane kuwa mmejaza umati wa watu kumbe bosheni tuu.bora ata huyo anayejaza wanafunzi kuliko watu hewa.
 
Kwani nyie mnakereka...Kama wanawachukua wanafunzi Kama mnavyosema nyie mnasumbuliwaje? Kama wanaokuja wamebebwa na malori nyie inawahusu...nyie shughulikieni ya kwenu..
Mnasema mikutano ya Lissu watu wanakuja wenyewe, hiyo ni sawa, hongereni...Mnasema CCM wanabebwa na malori na pia wanafunzi wamejaa Sasa nyie kitu gani kinawauma? Box la kura ndilo litakalozungumza...
 
18 ? kapige kura harafu watoto hawabadilishiki kilahisi
 
Ila leo pale himo na uwanja wa ushirika sijaona watoto sa sijui kimetokea nn hapo ngomeni.
 
Matokeo ya uchaguz huu yanaweza yakawadondosha watu kwa presha manaake kilichotekea hapo nyumbani hata siamini
 
Hili lichama limebaki kutegemea rafu na hila tu. Mbaya sana. Na litaendelea hivi hivi mpaka wananchi tuingie mtaani. Na kama hatutaki kuingia mtaani, CCM itaendelea hivi hivi kwa hila. Kaijage anakwenda kuwatangaza washindi, washindwe wasishindwe.
 
Ila leo pale himo na uwanja wa ushirika sijaona watoto sa sijui kimetokea nn hapo ngomeni.
Haiwezekani. Wamevishwa kofia na ma-Tshirt makubwa ndo maana macho hukuwaona vizuri
 
Mimi ni wa Moshi tokea enzi za marehemu Ndesamburo anamgalagaza mama minde shemeji yake Mkapa nilikua ktk izo kampeni nikiwa nasoma Moshi technical ccm haijawai pata mapokezi km haya safari hii chadema kuna sehemu imefanya makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…