LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
MaHayo majimbo wapewe huko dar tena Yale mapya maana huku mikoan hatuwambui ata kdg

Asilimia kubwa ya hao ukiwaangalia hawana mpango na Chauma wala nn, wameenda kujaza tu idadi wachukue posho wakaendelee na harakati za NRNEWakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Then chaumma becomes ccm bitch! Ccm can *** her whenever where ever he wants!Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Hela haishibwi chiefCovid 19 hao wana mamia ya mamilioni ya kiinua mgongo watajitegemea wenyewe pa kwenda
Safari bado ndefuACT wanakula maisha huko Visiwani, huku bara ndo anamegewa keki CHAUMMA ili Diplomats wa kimataifa waone Tz kuna Democrasia ya kweli.

Wamesema CCM itawaachia, chaguzi zetu zina sura ya ajabu. Badae utasikia billions zilizotumika.Kuna majimbo Yako wazi au sisiemu imeyasahau ili chaumma iyachikue??
Huyo Mzee ni hovyo sana! Very selfish na anapenda madaraka!Kitendo cha kukaa kimya ni wazi kabisa anahusika na yote haya. Kipindi Mbowe yupo mahabusu mbona wengine walikuwa wanampambania. Baada ya kukosa uenyekiti ndio anataka kuondoka na watu. Tamaa yake haitafanikiwa.
Huyo hajui kuwa CHAUMA wanapaswa kuwa na mgombea Urais atakaye pata asilimia angalau 10!Unaijua formula ya kupata viti maalum kweli?
Wanaachana na COVID-19 🤣🤣🤣🤣🤣🐸🐸🐸🐸Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya CHAUMMA kuwa na wabunge 20+ bungeni ili kuwaonesha waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa kwamba kuna democrasia ya kweli Tanzania.
Katika hivyo viti maalumu lazima ateuliwe Devotha Minja, Catherine Ruge na Susan Kiwanga. Na hapa sasa ndo tutathibitisha huenda FAM alihusika kuwapeleka wale COVID 19 bungeni.
CHADEMA itaendelea kuswekwa gerezani na kuwekewa vikwazo mpaka 2030 watakua na hali ngumu sana.
Kwa mikakati hii, CCM itatawala mpaka mwaka 3000.
View attachment 3340920
Mneona Wazungu maboya kama mlivyo ninyi!!ACT wanakula maisha huko Visiwani, huku bara ndo anamegewa keki CHAUMMA ili Diplomats wa kimataifa waone Tz kuna Democrasia ya kweli.