PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama vijana wakiendelea kuendekeza simba na Yanga ccm watatawala mpaka hiyo 3000 Naichukia sana hii nchi
CCM Bado muda watachinjana wao kwa wao kugombania uongozi

Wata uana sana tunaweza kuwa misiba ya Uraisi mfululizo
 
Mkuu nashukuru kwa kumbukumbu zako nzuri, ila hitaji kubwa la sisi tulio wengi ni kuona mabadiliko lakini sasa shida inakuja ni CCM haitoondoka madarakani leo wala kesho.
Watakuja chinjana wao kwa wao hao
Bado MBA kidogo
 
Uko sahihi mkuu, pale kwenye kura za maoni watafanyana kitu mbaya sanaa
Tutaona wagombea Ubunge wengine watakufa kabla ya siku ya uchaguzi hivyo chaguzi sehemu nyigi zitasogezwa mbele
 
Tatizo ni muda wa kuzipata hizo reforms na mwenye mamlaka kama atakua willing ku Negotiate
Mwenye mamlaka yuko willing kunegotiate lakini na wanasiasa wastaarabu sio wanaharakati wenye kutoka mashinikizo.
Subiri CHAUMA ashike ukuu wa Upinzani uone kama reforms hazitafanyika na process ya kufufua KATIBA MPYA iliyokwama.
CCM haiwezi ku gamble kuwaachia wahuni nchi wakijua kua kelele zote hizo ni kwa akili ya kufanya hayo hayo wanayo yalalamikia.
 
Hilo likitokea m.zitttoo atakuwa amekula wa chuya,maana chama chake kilisaini maadili ya uchagusi,
sasa caubwabwa kikimpindua italeta masikitiko.
 
Hii ni ngumu ,mda mwalimu
 
Wakuu habarini.

Yale mapandikizi yenu yamehamia chauma sawa.

Wenye ccm Yao watahamia chauma sawa.

Ccm ni kinyonga ni kweli Haina shida.

Joto la kisiasa na kidiplomasia ni Kali ndani na nje ya nchi ni kweli.

CHADEMA ni chaguo la watanzania na MUNGU MWENYEZI.

Mabadiliko ni lazima nchi hii.

Mwamba lissu amebeba agenda muhimu Kwa taifa hili na ni lazima aikamilishe.

Mama Samia shtuka unataka kufukiwa kwenye shimo unalolichimba mwenyewe.

Tiss mnataka kuwadanganya watanzania na Dunia Kwa kuipa chauma nchi? Mtakosea sana kwani moto utabaki pale pale .Tupeni haki wananchi tukabidhi mamlaka YETU Kwa wazalendo CHADEMA

Mwisho haya ni mawazo ya kichaa asiyejua chochote kwenye taifa hili na sijui kusoma lkn picha naionana Wana jf wenzangu Kama mlifikiri Kuna Cha maana ninaandika basi mmejizingua 😂🤣😂🤣😂 HONGERA ndumbaru kwa utoplo wa Jana🤣🤣🤣
 
Na kura za Urais watapewa
 

Attachments

  • IMG-20250521-WA0008.jpg
    110.7 KB · Views: 17
Ni suala la muda tu, ujinga huwa una mwisho.
Haya wanayoyaona ni mazombie kuna siku yataamka na kuanza kudai damu, wao na familia zao ni wachache Sana kufananisha na mamilioni ya Watanzania watakaokuja kuteseka pale watanzania akili zao zikibadirika.

Watanzania tunapaswa kuamka sasa na kuacha kushabikia vyama sasa, tusimamie na kupigania tanzania, vipaumbele vyetu ni maendeleo, amani na umoja. Tunazungumzia amani ya kweli na umoja wa kweli kama Watanzania sio unafiki unafiki.
 
Chauma?

Ni chama kinachojulikana Dar peke tena sehemu sehemu, kama posta, mwenge, ubungo na mbezi juu basi, halafu unataka kusemaje?

Chauma siyo tu kwamba inatambulisha uongozi mpya, hadi chama chenyewe kitambulishwe kwa raia,

G.55 wana kazi ya kufanya

Ila umasikini ni laana
 
Umenichekesha Sana eti Tiss wawape chauma nchi
Mimi nilivomuelewa, anamaanisha kwamba baadae CCM watahamia CHAUMMA, then CHAUMA itachukua nchi, ambapo kiuhalisia itakuwa ni CCM ileile na walewale ila kwa jina la CHAUMMA. Yote hiyo ni kuwhadaa jumuiya za kimataifa.
 
Hilo likitokea m.zitttoo atakuwa amekula wa chuya,maana chama chake kilisaini maadili ya uchagusi,
sasa caubwabwa kikimpindua italeta masikitiko.
Na Zitto wamemuwekea Baba levo kule Kigoma kupitia Ccm
 
Mimi nilivomuelewa, anamaanisha kwamba baadae CCM watahamia CHAUMMA, then CHAUMA itachukua nchi, ambapo kiuhalisia itakuwa ni CCM ileile na walewale ila kwa jina la CHAUMMA. Yote hiyo ni kuwhadaa jumuiya za kimataifa.
achana na haya mambo ndugu jikite kwenye vipodozi inatosha
 
Wanasema ukijiangalia kwenye kioo cheusi usishangae rangi yako! Kila ramli itanuiwa kwa ukuu wa mizimu! Nipo mtandaoni muda huu
 
 
achana na haya mambo ndugu jikite kwenye vipodozi inatosha
mafanikio ya vipodoI yanategwmea Siasa SAFI, HAKI na AMANI ndani ya nchi, bila SIASA SAFI, HAKI na AMANI ndani ya nchi hakuna nitakachoweza kufanikiwa kwa HAKI, sio ivyo vipodozi wala chochote kile., msingi wa mafanikio ya chochote kile kama raia unategemea kiasi kikubwa na hali ya kisiasa ndani ya nchi yangu.

DR, Kujua hilo nalo lilikuhitaji uende shule ???

BTW jadili hoja ya thread, achana na mambo personal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…