Sentesi ziwe fupi fupi, acha kujiliza boss.Yes,
mie si mtu wa kunyoosha maneno ya ukweli dhidi ya upotoshaji gentleman?
ukweli ni mchungu lazma uumie wewe pamoja na wenzio mnaoamini ramli na ushirikiana ๐
Having a difference in opinions and ideologies doesn't warrant you the right to demean people that in high probability you might live and die without accomplishing even 1/4 of their accomplishments.ofcoz useless politicians within any vibrant and visionary political party are not tolerated ๐
Keshaonja buyu la asali, hang'oki hata kwa grader๐๐๐.Huyu mama arudi kwao wallah. Atuachie nchi yetu.
Kwani lazima????? Lazima awe yeye.???
Huku ni bara atoke.
Unafikiri ukiwaita useless unawapunguzia kitu ukweli ni kwamba huwapunguzii kituni muhimu Ukweli ukaelezwa wazi kwa wakati muafaka, na kwamba ulowataja ni useless katika siasa za Tanzania na tetesi yako ni nonsense ndani na nje ya CCM.
kuendekeza ramli na imani za kishirikina ni utumwa wa kimaskini sana kwenye karne hii ya sayansi na technologia ๐
CCM WAMEVAA MIWANI YA MBAO MAKUSUDI ILI WASIONE WAINGIE SHIMONIUkweli ulio wazi pale ccm hapapo kama palivyo kuwa jana, hii haihitaji ufahamu mkubwa wa mambo ya siasi bali ni kuungasha nukta na kupata mchoro kamili, hata sisi tuliopo huku pembezoni mwa nchi tunafahamu mgogoro usio wa wazi pale ccm lakini ulio mkubwa kuliko hata unge kuwa wazi.
Tanzania has been ranked number 11 in the latest list of countries with the largest political party by members.Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
It's not right. She knows it and we all know it.Keshaonja buyu la asali, hang'oki hata kwa grader๐๐๐.
Yani umwambie arudi nyumbani kutumikia zamu ya uke wenza wakati anakula mema ya nchi kiubwete. Huyu atang'anga'ania mpaka kieleweke.
Hii ni zamu yenu kuendesha chama tunawasubiri muingie barabaraniโฆ.Mbowe ndio atampa hela za uchaguzi maana hajahama chama.
Msamehe Bure, atakuwa yupo mwezini.maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!๐
Dahh .๐๐๐Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
sifikirii wala kuona haya kwenye jambo halisi na bayana kama kuwahusu useless individuals kama hao ambao hawana athari za kisiasa ndani au nje ya CCM.Unafikiri ukiwaita useless unawapunguzia kitu ukweli ni kwamba huwapunguzii kitu
I think anyone who saved in different capacities in government with no impacts at all,Having a difference in opinions and ideologies doesn't warrant you the right to demean people that in high probability you might live and die without accomplishing even 1/4 of their accomplishments.
The people you have called useless have served in this country in positions that your whole lineage, past, present and future might never live to serve.
Warioba alishawahi kuwa Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Professor wa kuheshimika, halafu unamuita useless, kwa qualification ipi uliyokuwa nayo wewe zaidi ya uchawa wa mitandaoni.
mimi sio boss gentleman,Sentesi ziwe fupi fupi, acha kujiliza boss.
We nawe sasa una uongo mwingi sana? mpina nae ni kingunge kuanzia lini!? Au vingunge wa chama huwajui?Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
Hapana Lisu hana hela, anamtegemea Mbowe maana ndio mwenye hela. Hadi sasa tuko barabarani, ama unataka barabara ipi?Hii ni zamu yenu kuendesha chama tunawasubiri muingie barabaraniโฆ.
Nasema hivi, sentensi ziwe fupi fupi kiongozi HODARA kama ulivyoandika hapo juu๐๐mimi sio boss gentleman,
ni kiongozi hodara na mchapakazi wa wananchi na waTanzania wote,
tafadhali,
uvivu na uchovu wako usiwe changamoto kwa wadau wa JF๐
CHAWA in capital letters.Gentleman,
sio kwamba siwakubali, lahasha, nawapenda sana waTanzania wenzangu wote ispokua waliotajwa hawakubaliki wala hawaaminiki kwa jamii kwasabb ya tabia zao za uzushii, uongo, uchonganishi, chuki binafsi, tamaa walizonazo n.k.
na kwasabb hiyo tetesi hiyo iliyotolewa hapo juu ni nonsense na waliotajwa ni useless persons wasio na athari zozote kisiasa ndani na nje ya CCM imara na madhubuti sana kwa sasa chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi ๐
Porojo! Unaleta hayo ya kale, hayanukiii! Mambo ya ndungai, du pengine ufungue uzi mwingine.Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Kwani ww huyaogopi majibwa yake aliyoyafuga kumpambania mitandaoni.. ngoja yaje kukubwekea..Huyu mama arudi kwao wallah. Atuachie nchi yetu.
Kwani lazima????? Lazima awe yeye.???
Huku ni bara atoke.