Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Masikini walahi! Yaani wewe husikii vibaya kudanganywa wazi wazi kama lipumbavu fulani hivi?Kumbe Abbas anawanyima usingizi mtakonda mwaka huu.
Bado tu mnatumia Propaganda zenu? Mwaka huu hamtoboi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMasikini walahi! Yaani wewe husikii vibaya kudanganywa wazi wazi kama lipumbavu fulani hivi?
Hivi huko vichwani mume beba ubongo au ni pakacha la uchafu tuu?
Na kama mambo ya wazi hivi mnadanganywa na mnakenua kwa vicheko mangapi ya sirini mnapigwa changa LA macho na kushangilia kama mazuzu?
Wacha1 jaribu kutumia ubongo wako uliopewa na Mungu bure, maana alikuwa na sababu ndio maana hakukuumba punda au fisi
Serikali imejaa waongo na wasaka tonge tu. Eti huyo Abbas naye anayo PhD. Hata baba yao ni muongo hivo hivo. Usitarajie watoto wawe wakweli wazazi ni waongo kupindukia. Hata kwenye kampeni zao ni uongo kwa kwenda mbele.Nikiringanisha zile picha zilizokua zimepostiwa jana na Msemaji wa Serikali pamoja nilichokiona Leo kwenye TV ni Vitu viwili tofauti!
Hapo ndo huwa najiuliza unadanganya kwa faida gani? Ili iweje kwa Mfano?
Ccm ni chama cha kizalendo tuzidi kukiunga mkono ili kitoke madarakani kwa amaniDah,
CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na Mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakin bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara, na zile ni nyasi halisi, kutota tena ni majaaliwa.
Uwanja sasa umeharibika, Mipira haitambai kama inavyotakiwa, huu ndio uzalendo kweli? Hivi hata tukifungwa si mtakua mnahusika nyiyni watu? Kweli kabisa mnathubutu kuharibu uwanja namna hii mkijua wazi utatumika tu soon? Kweli kabisa nyie ndio mnataka tuwape mitano mingine tena huku tukijua wazi hamna uchungu na rasilimali zetu?
Imenigusa sana hii,
View attachment 1597081
View attachment 1596951
Na wakitoboa utakuwa na tobo jipya lingine la kutoboa ili uwape kandarasi watoboaji?Bado tu mnatumia Propaganda zenu? Mwaka huu hamtoboi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa akili zako Abas akisema Leo tumewafunga Burundi 1-0 utaaminiBado tu mnatumia Propaganda zenu? Mwaka huu hamtoboi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kama juzi walivyo mtoa kafara Naibu katibu mkuu waizara ya elimu Ave Maria semakafuKwa nchi za wenye akili, Dr Abbas ndo ilikuwa basi tena.
Dkt.
Nimesikitishwa, najiuliza ivi tatizo ni nini? wananchi tumekosea wapi! mbona tunakosa thamani kiasi hichi!Dkt.Abas mkumbuke na utu basi hata kama ni siasa
Naamini una akili zaidi ya hapa!Aisee,binadamu wengine sijui mkoje!Bado tu mnatumia Propaganda zenu? Mwaka huu hamtoboi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Zile zitakua ni Picha za Zamani, sijui walikua wanamdanganya Nani. Maana obviously tungeona tu. Huyo msemaji sijui anajiskiaje SasaNikiringanisha zile picha zilizokua zimepostiwa jana na Msemaji wa Serikali pamoja nilichokiona Leo kwenye TV ni Vitu viwili tofauti!
Hapo ndo huwa najiuliza unadanganya kwa faida gani? Ili iweje kwa Mfano?
Hatupo kwenye mambo ya kisiasa, tunaolalamika ni wanamichezo sio wanachadema tunaomba utuache kidogo😭😭😭😭😫Chadema mtacha lini kulalamika lakini eeh?