CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

Masikini walahi! Yaani wewe husikii vibaya kudanganywa wazi wazi kama lipumbavu fulani hivi?
Hivi huko vichwani mume beba ubongo au ni pakacha la uchafu tuu?
Na kama mambo ya wazi hivi mnadanganywa na mnakenua kwa vicheko mangapi ya sirini mnapigwa changa LA macho na kushangilia kama mazuzu?
Wacha1 jaribu kutumia ubongo wako uliopewa na Mungu bure, maana alikuwa na sababu ndio maana hakukuumba punda au fisi
unekosea kumjibu huyo chokambaya
 
Matunzo ya hizi facilities ni jukumu la meneja wa uwanja.

Iwe CCM au Chadema wanataka kutumia uwanja wanapaswa kufanya malipo fupani kwa ajili ya matunzo na usafi baada ya shughuli.

Matengenezo na utunzaji kwa ujumla ni jukumu la meneja wa uwanja iwe una nyasi za kijani au za njano au ubovu wa hapa na pale.

Hii huitwa facilities management.

Sasa hapo tusiwalaumu CCM kwa watu kushindwa kufanya uangalizi wa uwanja kama huu.
Unatetea ujinga kwa kuandika pumba tupu. Una akili za kimagufuli, kimakonda, kipolepole. Yaani Umekazana meneja, meneja, meneja......
Umesahau kabisa kuwa mmiliki wa huo uwanja ni Serikali, na serikali yenyewe ndio uliwapa CCM kuutumia kinyume kabisa na muongozo wa matumizi ya huo uwanja. Sasa meneja angefanyeje kuzuia hilo?

Hoja iliyopo hapa ni uwanja kuharibiwa na kampeni za Juzi za CCM na hapo hapo serikali ikaamua kuficha ukweli kwa kupotosha kwa uongo wa kiwango cha SGR. Jadili hilo, na kama huna maoni, soma tu maoni ya wengine.
 
Waliurashia rashia maji wakapiga picha usiku, kutuhadaa mwisho wameumbuka!
Wakaurashia tena maji dakikia 10 kabla ya mechi ili kificha aibu lakini waapi!
Mwisho wa siku gundu waliloutia likazaa kadi nyekundu, hitimisho ikawa ni kupigwa ka Nguruwe!
Kadi nyekundu ni sababu ya timu ya mikia ya Mo kuroga
 
Kwamba kipigo cha leo chama cha chanikiwiti pia kisisahaulike kwenye msako wa mchawi?
 
Kama wanadanganya mambo ya wazi hivi je kwa yale ambayo wananchi hatuyajui inakuwaje.
 
Kumbe Abbas anawanyima usingizi mtakonda mwaka huu.
kujipendekeza kusikufanye ushindwe kujenga hoja...
IMG_20201001_202252.jpg


Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1597130View attachment 1597131

Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Inashangaza sana!
 
Nimesikitishwa, najiuliza ivi tatizo ni nini? wananchi tumekosea wapi! mbona tunakosa thamani kiasi hichi!

Yan watu tumekuwa na siasa siasa kwa kila Jambo. Inakatisha tamaa sana kuwa na aina hii ya maisha.
Wametuharibia uwanja hawa majamaa. Uwanja wa Uhuru si upo karibu tu wangefanya siasa zao.
 
Inaitwa Kanyagakanyaga Ya Diamond Kama Mbeya Uwanja Wa Sokoine
 
View attachment 1597130View attachment 1597131

Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Vipo viwanja Viwili Utaamua Kuamini kipi Mimi nineamini cha Juu hahahaha
 
Back
Top Bottom