CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

unekosea kumjibu huyo chokambaya
 
Unatetea ujinga kwa kuandika pumba tupu. Una akili za kimagufuli, kimakonda, kipolepole. Yaani Umekazana meneja, meneja, meneja......
Umesahau kabisa kuwa mmiliki wa huo uwanja ni Serikali, na serikali yenyewe ndio uliwapa CCM kuutumia kinyume kabisa na muongozo wa matumizi ya huo uwanja. Sasa meneja angefanyeje kuzuia hilo?

Hoja iliyopo hapa ni uwanja kuharibiwa na kampeni za Juzi za CCM na hapo hapo serikali ikaamua kuficha ukweli kwa kupotosha kwa uongo wa kiwango cha SGR. Jadili hilo, na kama huna maoni, soma tu maoni ya wengine.
 
Waliurashia rashia maji wakapiga picha usiku, kutuhadaa mwisho wameumbuka!
Wakaurashia tena maji dakikia 10 kabla ya mechi ili kificha aibu lakini waapi!
Mwisho wa siku gundu waliloutia likazaa kadi nyekundu, hitimisho ikawa ni kupigwa ka Nguruwe!
Kadi nyekundu ni sababu ya timu ya mikia ya Mo kuroga
 
Kwamba kipigo cha leo chama cha chanikiwiti pia kisisahaulike kwenye msako wa mchawi?
 
Kama wanadanganya mambo ya wazi hivi je kwa yale ambayo wananchi hatuyajui inakuwaje.
 
Inashangaza sana!
 
Nimesikitishwa, najiuliza ivi tatizo ni nini? wananchi tumekosea wapi! mbona tunakosa thamani kiasi hichi!

Yan watu tumekuwa na siasa siasa kwa kila Jambo. Inakatisha tamaa sana kuwa na aina hii ya maisha.
Wametuharibia uwanja hawa majamaa. Uwanja wa Uhuru si upo karibu tu wangefanya siasa zao.
 
Inaitwa Kanyagakanyaga Ya Diamond Kama Mbeya Uwanja Wa Sokoine
 
Vipo viwanja Viwili Utaamua Kuamini kipi Mimi nineamini cha Juu hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…