CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

Kwenye hili chama changu CCM hatuwezi kukwepa lawama aisee
💯% lawama zote ni kwa Joni. Hivi alidhani nyasi zinaotaga tena ndani ya siku1 tu?
 
Yaani hata mimi imeniuma sana, ni ubabe usio maana.
Kwani hakukuwa na maeneo mengine hata ya wazi?

Uwanja wa uhuru kwa nini haukutumika?
Mechi hii inaangaliwa nje ya nchi mbona ni aibu?
Ccm siku zote ni washamba tu!!
 
Watu walipigana miti kinoma ziliokotwa ndoo 20 za kondom zilizotumika
 
Mpuuzi mmoja hivi anajaribu kuhamisha Magoli...hivi kweli mtu mwenye akili timamu unaweza shupaa shingo kutetea hili? angekua na busara angekaa kimya kuliko kujiexpose jinsi alivyo mweupe.
 
Nimechukia sana kitendo hiki cha ccm kaharibu uwanja wetu halafu wanakuja kutumia kodi zetu kutengeneza. Ccm wanapaswa kupigwa faini kwa hili.
 
Umemwona leo unasemaje?
Alidanganya vile ili apate nini? Kwa faida ya nani? Angekaa kimya tu angepata hasara gani? Sidhani kama angekaa kimya bila kuleta uongo mshahara wake ungepungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…