CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

Mkuu ccm haiogopi box la kura, huko wanaamua tu watangazwe kwa kura kiasi gani. Tuongelee njia nyingine, sio hiyo ya box la kura. Nguvu ya umma pekee ndio itawatoa, ama kwa mbali mapinduzi ya kijeshi, maana vyombo vya dola ni sehemu ya wafaidika wa keki ya taifa kwa kushirikiana na CCM.
 
Mi nafikiri ajiandae kwenda kwa wajomba zake taratibu
 
Siyo kwa sanduku la kura na kumwachia DED atangaze matokeo. Labda wang'olewe na usalama wa taifa au wapigane fitna kwa kuvujisha Siri au mahakama ziwe huru ili wang'olewe kisheria au Mungu aamue ugomvi.
2025 wakiiba kura tufanye kama yanayotokea France
 
Haiwezekani CCM ijitoe yenyewe madarakani. Inaimiliki tume na miundombinu yote ya uchaguzi - halafu eti tume hiyo ihesabu kura na kumtangaza mwingine!
 
Sheria na katiba havifuatwi kwasabb katiba yetu imetoa mwanya huo. Katiba imemfanya rais kuwa juu ya sheria na katiba yenyewe, hivyo kupelekea yeye na wateule wale pamoja na wapambe wake kuwa huru kufanya hivyo kwasabb wanafahamu watalindwa na rais ambaye yuko juu ya sheria zote.

Katiba bora hujitetea na kujilinda yenyewe. Kila anayeikanyaga hukuona cha mtema kuni.
 
Bahati mbaya iliyoje ni kwamba maamuzi ya either katiba mpya itungwe ama isitungwe yako mikononi mwa hao hao wafanya madudu
Ni kweli. Na hapa ndipo tunahitaji kuwaelimisha wananchi waamke na kuipambania katiba. Vinginevyo tukae kimya tu.
 
Chama kinapokuwa kwenye autopilot ambayo imewezeshwa na serikali, serikali sets the agenda.
Hapo, anybody anaweza kuwa kiongozi wa idara ya serikali inayoitwa chama.
It's the other way round, chama ndio kina set agenda kupitia Ilani yake, mgombea urais wa CCM, ndie rais wetu na chama ndio kimeshika hatamu za kuendesha serikali, serikali ndio iko kwenye autopilot kwa chaguo lolote la chama ndie ataendesha serikali.
P
 
The Great truth for more than 100%
 
CCM wanajitoa ufahamu
 
Kama na wewe unadhani kuna siku itafika CCM ipumzishwe, utasubiri sana!.
P
Hata Mobutu Seseseko aliwahi kusema kwamba Wananchi wa Zaire wasitarajie kwamba itafika siku yeye atapumzika kazi ya Urais wa Zaire, akasisitiza kwamba kamwe asingepumzika wala kuacha kazi yake ya urais.Mwisho alihitimisha kwa kusema kwamba yeye (Mobutu Seseseko) ndio Rais wao wa Maisha nchini Zaire.
 
Mgeni na CCM nini wewe!
Hatuwezi kuitoa kwa kujificha humu, lazima tutoke hadharani
 
Mnajifariji wenyewe.
 
No one is indispensable, human beings, tutakuja na tutapita, ila CCM is not!, itatawala milele kwasababu at the moment it's the only one, and it's the one and only!.
P
 
CCM wakiiba kura watu watafanya nini?

Samia alishasema kwamba mkimpigia kura au msimpigie kura, ana uhakika wa kushinda.

Mlimuelewa hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…