CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

CCM wakiiba kura watu watafanya nini?

Samia alishasema kwamba mkimpigia kura au msimpigie kura, ana uhakika wa kushinda.

Mlimuelewa hapo?
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".

By Jeff's O'Brien.

[Emphasis is added]
 
Sawa Professor.
 
Sawa kabisa. WATAVUNA WANACHOPANDA. Sababu ya kudharau raia, sababu ya uroho wa hela, safari, magari, hela na matumbo yao.
Kutokuwa WAZALENDO kisa kujiona MIUNGU MITU na raia hawawezi kuwafanya chochote!😠😡🤬😫😩😣
 
Kinachosikitisha ni taasisi kama Ualama wa Taifa, taasisi za kizalendo na zilizo ndani ya roho ya utaifa wa Tanzania, najiuliza kuwa huu ukakasi hawakuuona na kuuchukulia hatua?
Wao ndio majanguli.. Jeshi la maji la kazi gani wakati maji yote ni mali ya dubai [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaiona Ilani ya CCM, inayoruhusu kuuzwa/kukodishwa/kubinafsishwa bandari zote za nchi hii.
Thats political suicide, na ndicho tunachopitia sasa.
 
Huu ni ukweli mchungu!.
P
Tunaowategemea hawajiamini na wala hawaoneshi dalili za kushika madaraka.

Tusiowataka wanaendelea kita mizizi.

Kwa demokrasia kuitoa CCM na masalia yake ni ngumu sana, labda waamue kuonesha dunia kuwa mabadiliko yapo.

Tatizo la Watanzania twaongea sana mitandaoni na kwenda kwenye mikutano ila sasa kupiga kura watu hawajitokezi.

Kama wapiga kura wangekuwa wanafika hata Milioni 25 hakika tungesema hapa CCM ipo siku itaondoka.

Siipendi CCM na sijawahi wachagua, na sitawachagua ila kura zetu hazitoshi.

Chadema wanapaswa shiriki uchaguzi wa 2024 ili kujiandaa na 2025 hata kama katiba itakuwa haijapatikana
 
Time and generation can sort out everything chukua vijana wenye miaka 30 kurudi chini waulize ccm na andazi unachagua nini atakujibu ngoja hichi kizazi cha kina wasira na warioba kiishe kuna siku tutaongea lugha moja.
Ccm ni taasisi imara sio kama chadema, cuf na Act wazalendo. Wakiondoka wakina wasira usisahau wanakuja wakina Riziwani, makamba Jr nk nk. Leo jiukize kaondoka maalim sef nani mbadala wake, leo yupo mbowe unaona ht wakiandaa mbadala wake.
 
Ny

Nyie watu wajinga wajinga hamuoni suala la sovereighnity ya nchi.
Kazi kufikiria matumbo yenu a vizazi vyenu.
Pathetic.
 
KWELI KABISA HILI..
 
Ccm ni taasisi imara sio kama chadema, cuf na Act wazalendo. Wakiondoka wakina wasira usisahau wanakuja wakina Riziwani, makamba Jr nk nk. Leo jiukize kaondoka maalim sef nani mbadala wake, leo yupo mbowe unaona ht wakiandaa mbadala wake.
Chuma ni imara, hufika muda kikaliwa na kutu.
Tujali maslahi ya Watanzania kwanza.
 
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , usiwe na shaka yoyote na Watanzania ni watu poa, hata uwafanyie nini, ukifika muda wa kuchagua ni kile kile chetu chama numberi uno!.
P
Unatia hasira japo ni uhuru wako kuongea.
Lakini mtu kama wewe una nafasi kushauri na kuelekeza kwa taaluma zako zote 2.
Unatudhihaki sana.
 
Wenyewe wanafikiri wananchi wataendelea kuwa wajinga siku zote, je kuna mtawala hapa duniani alikuwa na nguvu kama Albashir wa sudan au hata jpm, busara ni kuwaheshimu wenye nchi.
 
Usikate tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…