CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.

Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.

“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.

Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”

Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
 
CCM mkoa wa Mara kupitia M/kiti wake wa wazazi imemtuhumu aliyekuwa Mkiti wa wazazi Taifa Bulembo kwa kuiuza shule ya Isango kwa thamani ya milioni 70 tena usiku wa saa 2.

Pia wajumbe wa mkutano wa wazazi wamemtuhumu Bulembo kwa kuuza mgodi uliokuwa unamilikiwa na Taasisi hiyo huko Geita kwa kiasi cha milioni 50 na iliyowapewa Jumuiya ni milioni 20 pekee.
Bulembo apelekwe mahakamani haraka. Chama tuache double standards
 
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.

Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.

“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.

Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”

Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.

Ccm wote wezi
 
CCM TUMEWACHOKA MJIUWE WENYEWE
 
Huu ni Moshi wa polepole shimoni Kwa wahuni, au?
 
Back
Top Bottom